Suarez naona ana dive kwa slow motion. Jamaa. Kiboko
Huku jamaa wamekata umeme naombeni matokeo na dk ya ngapi?
Refa alikuwa mbali asingeweza kuona.... Van Persie.....Wamebebwa lakini ngumu kwa refa kutokana na kasi ya mchezo
Tuseme mara ngapi?RvPPPPP. Mtasema tumebebwa tena.
Jamani ile reply wote mmeona........
Refa alikuwa mbali asingeweza kuona.... Van Persie.....
Liverpool wanasikitisha sana...No Contact at all!! This is unfair!!
Tuseme mara ngapi?