OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kiungo ya Chelsea itakuja kuwa bora sana Siku za mbeleni. Tena ndan ya msimu huu huu..Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?
Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.
Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.
Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
Ukweli ni huu kwa top 6 Liverpool hawana midfield nzuri , ndio maana magoli yao yanatengenezwa sana na fullback , wana backline nzuri wana trio nzuri ila hawana midfield nzuri . Huo ndio ukweli unatakiwa usemwe na hata kopities wanakiri hilo .Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?
Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.
Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.
Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
Kipi kinakufanya uamini??
Tokea 2017 mpaka leo tunasema hivyohivyo..
Amecheza vyema sana akiwa na timu yake ya taifa,pengine anaweza badilika akipewa nafasi. Jamaa kwanza amekuwa hapewi nafasi ya kutosha kwenye timu. | |
Tunatia matumain?? Mna maanisha nyie mko vizuri sana Si ndio??
Hahahaha kiungo Matic mzee, Pogba Tuma maji leo Yuko vzuri kesho anazingua, kwa Beki man u mko vizuri sana ila magwaya sio mpambanaji(sio wa kuaminiwa) ila mbele ndo kabisa hauna kitu ..Rashid akifikisha goli 15 msimu huu SITAINGIA KWENYE HUU UZI MPAKA MSIMU UNAISHA. lingard ndo kabisa ..ata Tammy akitulia vizuri anaeza kuja mkimbiza ..uyo masho hana tofauti na pogba, wote Tuma maji tu ..Ndio unataka kusema nini
Tatizo lako IQ yako ndogo Sana tena Sana...Hahahaha kiungo Matic mzee, Pogba Tuma maji leo Yuko vzuri kesho anazingua, kwa Beki man u mko vizuri sana ila magwaya sio mpambanaji(sio wa kuaminiwa) ila mbele ndo kabisa hauna kitu ..Rashid akifikisha goli 15 msimu huu SITAINGIA KWENYE HUU UZI MPAKA MSIMU UNAISHA. lingard ndo kabisa ..ata Tammy akitulia vizuri anaeza kuja mkimbiza ..uyo masho hana tofauti na pogba, wote Tuma maji tu ..
Kiufupi hii man u mutakimbiza kama gemu tisa/kumi hiv baada ya hapo munajua nini kitatokea..
McTominay ni CM na Pogba ni CAM sidhani kama ulitegemea maajabu hapoDefence ilikuwa nzuri lakini kiungo ilifuja sana kwa sababu 65% ya mchezo Chelsea walitu outperform
sasa kama maskaut washaona hivyo maana yake sokoni hakuna viungo wengine? halafu unaambiwa United ndo timu yenye scouts wengi dunia unfortunately wote walienda Portugal kumuangalia Bruno.Hawa maskaut wapo sahihi kabisa ila mashabik huwa mna mihemko sana , huyo Bruno mashabik wengi mmemuona game hazizid 5, maskaut wamemfatilia msimu mzima.
wakati huo City inashiriki Major League Soccer au Super league ya Uchina.Kiungo ya Chelsea itakuja kuwa bora sana Siku za mbeleni. Tena ndan ya msimu huu huu..
Hahahaaaaa watu mna majibu sanawakati huo City inashiriki Major League Soccer au Super league ya Uchina.
Ila yule magwaya na wasiwasi nae sana , labda bissaka nimeona anacheza vzr sana, magwaya mmh naweka akiba ya manenoHahahaha kiungo Matic mzee, Pogba Tuma maji leo Yuko vzuri kesho anazingua, kwa Beki man u mko vizuri sana ila magwaya sio mpambanaji(sio wa kuaminiwa) ila mbele ndo kabisa hauna kitu ..Rashid akifikisha goli 15 msimu huu SITAINGIA KWENYE HUU UZI MPAKA MSIMU UNAISHA. lingard ndo kabisa ..ata Tammy akitulia vizuri anaeza kuja mkimbiza ..uyo masho hana tofauti na pogba, wote Tuma maji tu ..
Kiufupi hii man u mutakimbiza kama gemu tisa/kumi hiv baada ya hapo munajua nini kitatokea..
Eleza kwa statistics ueleweke mambo ya labda labda yashapitwa na wakatiIla yule magwaya na wasiwasi nae sana , labda bissaka nimeona anacheza vzr sana, magwaya mmh naweka akiba ya maneno
Namzungumizia nilivyomuona ktk ile mechi ,hizi statistics zitawaponzen, maana kwa statistics mustafi anakimbizanaga na kina vvd lkn ndio beki mbovu na aliyetemwa pale arsenal msimu huu, sasa ww kimbilia statistics wakati wahafidhina tunaangalia movement n.k ,Maguire ni mzito ,hiyo weakness yake ndio inanipa wasiwasi , subir baada ya mech 5 tu , nitakupa tathmin fupi.Eleza kwa statistics ueleweke mambo ya labda labda yashapitwa na wakati
Hahahaha kiungo Matic mzee, Pogba Tuma maji leo Yuko vzuri kesho anazingua, kwa Beki man u mko vizuri sana ila magwaya sio mpambanaji(sio wa kuaminiwa) ila mbele ndo kabisa hauna kitu ..Rashid akifikisha goli 15 msimu huu SITAINGIA KWENYE HUU UZI MPAKA MSIMU UNAISHA. lingard ndo kabisa ..ata Tammy akitulia vizuri anaeza kuja mkimbiza ..uyo masho hana tofauti na pogba, wote Tuma maji tu ..
Kiufupi hii man u mutakimbiza kama gemu tisa/kumi hiv baada ya hapo munajua nini kitatokea..
Yes nimekumbuka..nilichanganya!Ule mtaa unaitwa Lumbila, ni nyuma ya machinjio ya nguruwe.
Tatizo lenu ndo hilo yule ni beki ambaye hana papara na mpira na wala si mzito kama mnavowaza ebu angalia beki kama smalling ni mtu mwenye mipapara ya mpira ndo naamini unaona mwepesi sioNamzungumizia nilivyomuona ktk ile mechi ,hizi statistics zitawaponzen, maana kwa statistics mustafi anakimbizanaga na kina vvd lkn ndio beki mbovu na aliyetemwa pale arsenal msimu huu, sasa ww kimbilia statistics wakati wahafidhina tunaangalia movement n.k ,Maguire ni mzito ,hiyo weakness yake ndio inanipa wasiwasi , subir baada ya mech 5 tu , nitakupa tathmin fupi.
Inawezekana kabisa ma scout wapo sahihiHawa maskaut wapo sahihi kabisa ila mashabik huwa mna mihemko sana , huyo Bruno mashabik wengi mmemuona game hazizid 5, maskaut wamemfatilia msimu mzima.
Wana midfield nzuri kweli kwa kuangalia mmoja mmojaQuality ya Kante na Joginho ni kubwa sana pale EPL. Ukiwaongeza Kovacic, Barkley na huyu dogo Mount inaonekana wako bora sana katikati
Mkuu ni ngumu sana kuamini unachoongea, kiufupi upo kama kinyongaHahahaha kiungo Matic mzee, Pogba Tuma maji leo Yuko vzuri kesho anazingua, kwa Beki man u mko vizuri sana ila magwaya sio mpambanaji(sio wa kuaminiwa) ila mbele ndo kabisa hauna kitu ..Rashid akifikisha goli 15 msimu huu SITAINGIA KWENYE HUU UZI MPAKA MSIMU UNAISHA. lingard ndo kabisa ..ata Tammy akitulia vizuri anaeza kuja mkimbiza ..uyo masho hana tofauti na pogba, wote Tuma maji tu ..
Kiufupi hii man u mutakimbiza kama gemu tisa/kumi hiv baada ya hapo munajua nini kitatokea..