Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa Nasemaje tengeneza kikosi chako unachokijua halafu kilete kicheze na Manchester united Eti Maguire anajificha kwenye takwimu!!!!tengeneza hoja acha chuki na kuchambua mpira kishamba
 
Refa kawabeba sana hongereni kwa ushindi wenu wa kwanza ..

Magwaya na Bissaka bado hawaja improve chochote, ni gemu tu ilikuwa upande wenu..

#TukutaneDarajani
Nmekubali tumepigwa lakini hii Man united sio timu ya kutegemea kuleta ushindani msimu huu ..mtaenda hivi baada ya mechi saba tutakuja kuongea tena..
 
Bwana Detective juzi hauna mpira wowote man u walicheza ..Sema wale madogo wetu hawakuwa makini ukicheki ni mechi kubwa wameanza nayo ..ila tunajua hii manure aifikishi mechi kumi tutatafutana apa nan mchawi..

Rashid na Masho sio wachezaji wa kuleta chochote kitu apo OT..
 
akipatikana holding mzuri au fred/matic wakitulia, mctominay anarudi namba ya herrera, then pogba anaachwa free, siku zote akiwa free ndio tunafanya vizuri zaidi kama msimu uliopita.
Pogba amecheza free game nying tu na bado kaboronga..
 
Man u hamna kitu..? Magoli 4 wamepataje? Mlikuwa mmesimama?
Iko hiv man u mliwazid katikati. Na hii ni sababu hakuna usajili wa mtu wa kati ndio maana pogba alipotea kidogo.
Lakin man u hao hao wakagundua udhaifu wenu mkubwa. Deffence yenu ni uji kaka.. kubali ukatae.


Kwa ile diffence.. mkija kutana na timu zinazo press kama liverpool na city watawafanya kitu kibaya sana.

Ole alijiunza kutokuwaamini watoto kwenye epl. Mwaka jana yalimtokea ole puani. Ndio maana kikosi cha kwanza . Watoto ni kidogo... tena wanacheza mbele tu.. na waanzia benchi.

Endeleeni kuwaamini akina mason mount na tammy abraham. Mechi kumi tu utapotea jf.

Epl ni ruthless league. Sio laliga
 
Sidhan kama maguire anajificha kwenye takwimu. Ni style y uchezaji tu.
Ameibadilisha deffence ya man u. Kutoka kuwa defence ya kipumbav mpaka kuwa defence inayoanzisha mashambulizi.
Amin nakwambia kama mechi ya chelsea wangecheza smalling na jones. Zile goli nne zingekuwa kwa man u si chelsea. Halaf maguire ni captain material. Anaongea anapanga wenzie.

Angekuwa hana kitu hata timu akiyotokea angekuwa benchi tu.
 
Una ujuzi na uzoefu gani hadi tukusadiki?
 
Jidanganye
 
Najiuliza mpaka sasa.

Kama waliweza kusajili mabeki, walishindwa vipi kusajili viungo?

Joao Felix na Bruno Fernandez ilikuwa addition bora kabisa pale O.T.

Mzigo wote wa kiungo unamuangukia Pogba.

Kiungo kikifa, lawama zote kwa Pogba. Mambo yakiwa fresh, shangwe kwa McTomminay.

Hii timu ina fustrate sana.
 
Scholes adai hii Man Utd bado sana

Gwiji wa Manchester United, Paul Scholes anaamini kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer bado si imara kumudu kutawala eneo la kiungo licha ya kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Chelsea.
Wewe unaona kikosi kimekamilika hapo?
 
Unatakiwa ujue kuwa ili usajili ukamilike. Is not about money tu.. mchezaji na yeye itabidi aridhie binafsi.
J.felix alikataa kabisa kuja man u yeye kama yeye. Team haiwez kumlazimisha.

Halaf kuna tabia ya wachezaj na timu zao kuona man u ni kama sehem ya kutajirika. Yaan wanapiga bei kubwa. Mambo ni mengi na usajili si mrahis kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…