Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani kazi ya washabiki ni kushangilia kama mshabiki nguli wa chelsea nasema hivi hiyo 80 M sterling haijatoka mfukoni mwangu hainiumi kabisa na washabiki wengine msiumie maana haijatoka mfukoni mwenu.Ngoja nijenge nchi kwanza tutakutana EPL ikianza
Sawa

Smart guy
 
haahaaa
 
Watu wengi wanajidai hawaelewi

VVD wa sasa hivi ni wa £100m+, si yule wa Southampton wa £75m ambaye alikuwa bado not proven katika stage kubwa

Varane, Koullibally wapo kwenye range ya bei hiyo hiyo ya VVD ya sasa au zaidi

Skriniar wa Inter Millan not for sale

De Legt ni £65m lakini anataka Champions League football, amekuwa akiitumia United ili apewe mkwanja mkubwa kule anapotaka kwenda

Maguire kwa £80m+ ni kubwa lakini hata VVD kwa £75m ilikuwa kubwa mno
 
Ulitegemea wew na nani.?? Na wew kama nani?
 
Well miaka imebadilika. Leo hii atletico wanamnunua kinda kwa 120m... wkt 2009 wangemchukia kwa 20m.
Nyanya iliyokuwa inauzwa 50 mwaka 2008 leo ni 500.
Vitu vinapanda bei kila mahali. Ni jambo lisilokwepeka.
Uchukue EPL Title na huyo Greenwood ambae yawezekana hajacheza hata mechi tano za EPL mpaka sasa tunavyoongea?
Acheni watu watengeneze team unazan unatengeneza team kwa msimu mmoja?
 
Hata Huyo Maguire hiyo 80m ni plus Add-ons, ninavyofahamu hizo hazilipwi mpaka vigezo Fulani vitumie, Fee inayosemwa ni 60m.

Kama Glazzer amechota 1.3B kulipa madeni yake Wala sioni tabu tukitoa Hata 200m kusajili Mchezaji anayekuja kutu improve, Man U Kuna hela nyingi tu zisizotumika ipasavyo.
 
Tuna mabeki wa kati kibao ambao wapo comfortable kucheza upande wa kulia, lindelof, Baily, Smalling, Axel, Jones, etc kushoto tuna Rojo tu, Maguire yupo comfortable kushoto ni must buy. Huwenda jamaa akatu improve Sana. Tumalize beki tuanze midfield.
 
What happened to the Maguire's Monday medicals?
I still wonder too!! I think it was a made-up fake news for attention seeking for both united and maguire himself with a little involvement from the foxes themselves..Maguire wants to inspire his deal to be completed quickly and his desire right now is to move from his club and joins a new one as he regards pre-season matching!!

And this fake news, I think these sources must be paid first so they can generate them and initiate any deals!
 

Moja ya issues kwenye soccer nimeshindwa kufanyia follow-ups ni transfer gossips.

Huwa nasubiri BBC aripoti tu final ndo nachukua.
 
Kwa wale ambao wanajiuliza kwanini Fred hayupo na Timu. Jamaa ameoa.


Mwaka Jana Lindelof alivyooa alirudi kwa kasi Sana, Let's hope Fred atarudi kwa kasi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…