mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Hehehe Poleni sana bandugu ndio mpira huo. Na mwaka jana wale wale vijana waliwachachafya.
msimu uliopita huyu manywele jamaa ali2nyima ubingwa.jana tena kapiga bao bora babu angemnunua kuliko huyu rvp
nyie chekeni muulize arsene wenger hua akiendaga goodson park(everton) hua wanafanyiwa nini...pale ni pagumu zamu yenu inakuja..kama arsenal wanashindwa kushinda emirates wakienda away itakuaje?
Kwa hiyo relief yako unaipata kwa kuitazama arsenal!! pole sana
nyie chekeni muulize arsene wenger hua akiendaga goodson park(everton) hua wanafanyiwa nini...pale ni pagumu zamu yenu inakuja..kama arsenal wanashindwa kushinda emirates wakienda away itakuaje?
arsenal najua sio washindani hawawezi shinda ligi so hawaniogopeshi..hata wakifungwa sishangai...my worry ni man city na chelsea...hakuna washindani wengine hapo
Unapokua na internet hupaswi kuongea bila kuhakiki kama kitu hukijui. Sisi Everton tunapiga nje ndani. Na mara ya mwisho Captain wangu Vermaelen ndo aliwapiga cha nguruwe.
Mbona huishi kuwataja Asenali kama sio washindani wako? Kitu kidogo unajilinganisha na Arsenal. Mbona sio Liver au wengine?
:biggrin1: arsenal ni wateja wetu...tunawapaga vichapo haswa sio emirates sio old trafford...sasa hutaki niienjoy wakati nyie ndio vibonde wetu
Unawajua Magpies wewe??? Ni Newcastle kama sikosei siyo hao waliowavuruga jana, poleni sana.Its hasn't been ease playing with the Magpies
Haileti mantiki. Unafungwa na Everton unakimbilia kuwataja Arsenal. Kivipi sasa? Hebu kaa humo
Tatizo sio winga tatizo ni defensive midfielder angalia timu ikishambuliwa ,Fellaini alikuwa anacheza free hana mtu anayemkaba Scholes alipata yellow kadi mapema sana so akawa anacheza kwa uangalifu.Carick,Anderson,Cleverley,Scholes wote sio wazuri kucheza defensive midfilder,Fletcher ndio anaweza kucheza hiyo nafasi lakini majeruhi.Kwenye game ya Everton nimegundua uchezaji wa MANU umebadilika kule mbele baada ya kuja RVP na Kagawa timu haitumii sana mipira ya pembeni,inaonekana mfumo bado hawajauzoeaWingers tunao ashley kushoto valencia kulia sema sa saivi tuna majeruhi wengi so Valencia inabidi arudi right back hapo ndo tunapochemka... Anyways i hope will get our players bk soon