D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ndio maana sipendi asajiliwe manchester united, dogo bado anacheza mpira wa karne ya 20 na anahitajika mwalimu wa ukweli kumbadilisha.Dogo ana stats nzuri sana defensively
Lakini sio mzuri offensively, na fullbacks wa kileo lazima pia wawe wana contribute going forward
Ni kweli, dogo ni old school full backndio maana sipendi asajiliwe manchester united, dogo bado anacheza mpira wa karne ya 20 na anahitajika mwalimu wa ukweli kumbadilisha.
kwa fikra zangu nadhani klabu ingelituma ofa ya 30 millioni pound kwa kieran trippier mwenye umri wa miaka 27, trippier atakapochoka diogo dalot atakuwa na wastani wa miaka 23.
upo sahihi kieran trippier hakuwa kwenye ubora wake msimu huu ukilinganisha na kiwango alichokionyesha kwenye mashindano ya world cup.Ni kweli, dogo ni old school full back
Lakini Trippier sijui kwanini simkubali, naona Trippier wa mwaka wa World Cup na huyu ni watu wawili tofauti. Mimi naona bora Meunier tukitaka beki mzuri, mwenye experience isitoshe huyu jamaa ni shabiki kindaki wa United. Lakini pia anauzwa £22m ambapo kwa beki mwenye miaka 27 ni bargain ya nzuri, hiyo itatuachia hela ya kuimarisha maeneo mengine
Naona Aarons Max wa Norwich (mchezaji bora wa Championship 2018/2019) ni best alternative kuliko Wan Bissaka
Hapo ndio ninachoka, eti Wan Bissaka anamzidi Conceloupo sahihi kieran trippier hakuwa kwenye ubora wake msimu huu ukilinganisha na kiwango alichokionyesha kwenye mashindano ya world cup.
ukizifuatilia hizi fununu za usajili dalili zinaonyesha wazi main target ni mchezaji anayetokea kwenye ardhi ya uingereza ndio maana nikamtaja trippier awe mbadala na si kwamba sitambui uwezo wa thomas mounir.
hiyo hela wanayotaka crystal palace ya paundi millioni 60 kwa wan bissaka inatosha kumnunua joao concelo kutoka juventus na chenji ikabaki lakini klabu haionyeshi nguvu kubwa ya kumuhitaji ukilinganisha na majirani zetu wa manchester city.
Stats alilizoweka hapo ni kwa defenders tu
Hazard ayupo tunawaapiga tu bila chengaMechi ya ufunguzi. Hapa lazima mlazweView attachment 1126220
Lakini si bado Phili Jones mnaye pale nyuma? Na Rashford na Lingard ndo foward wenu?Hazard ayupo tunawaapiga tu bila chenga
kwa fikra zangu dhaifu nadhani ishu ya mahitaji (demand) na uzalishaji (supply) inahusu zaidi kwa wachezaji wa kiingereza.Hapo ndio ninachoka, eti Wan Bissaka anamzidi Concelo
Waingereza bana, ila kinachotajwa kuwapandisha thamani wachezaji wa EPL raia wa kiingereza ni uwezo wa kifedha wa timu hizo (hawana njaa) kutokana na wadhamini waliopo, hivyo hawana presha ya kuuza
Kingine ni Brexit, hii inatajwa kuja kuathiri sana siku za mbele soko la hawa watoto wa Malikia
Hebu soma vizuri picha ulizoandika beki gani amempita? Kina gueye, capue, Ndidi etc hawachezi position yake.Hapa brother umepigwa changa live...
Wan-Bissaka haongozi kwa stats yoyote kwa msimu uliomalizika!
View attachment 1126029
View attachment 1126030
Kweli mkuu ila inategemea na mfumo, ukimuweka kulia ya mfumo wa beki 3 wa nyuma na dalot kama wingback kwa muono wangu anafit.Dogo ana stats nzuri sana defensively
Lakini sio mzuri offensively, na fullbacks wa kileo lazima pia wawe wana contribute going forward
Tutapiga hao chelsea kama mbwa kokoMechi ya ufunguzi. Hapa lazima mlazweView attachment 1126220
Kwani pesa unatoa weweHivi wakuu ndiyo mumeweka rasmi £95m kwa Grieman?
Mechi ya ufunguzi. Hapa lazima mlazweView attachment 1126220
Ila wales na kule Swansea amekuwa akicheza 11 saba sijui kama animidu kama hyo kushoto. Ila anaspeed balaaMkuu hivi huyu dogo tunaweza kumwamini aingie direct kwenye first eleven??..
Huyu dogo nahisi anambio kuliko bale aseeBale alitisha sana, sijui kama dunia itampata mchezaji anaecheza style ya uchezaji wa Bale
Masikini Majeruhi yalimuweka shimoni The pacy Welsh
Sijui kwa nini pamoja na hayo naona kama watoto Wa dizaini hii hawastahili kuchezea Man U. Tena ukizingatia ni muingereza duuNimeicopy sehemu fulani
Epl msimu uliopita
Most clearances:
• Wan-Bissaka (129)
Most tackles won:
• Wan-Bissaka (129)
Highest tackle success rate:
• Wan-Bissaka (94%)
Most take-ons completed:
• Wan-Bissaka (90)
Most interceptions:
• Wan-Bissaka (84)