Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ole kapunguziwa bajeti ya usajili au kuna nini kinaendelea? Anaunga sana mithili ya arsenal.

Hapa ndiyo ninapoleta mjadala kuhusu nani wa kulaumiwa kwenye usajili! Je ni Ed? au Ole?

Nakumbuka Liverpool tukiwa na Matajiri hawahawa (FSG) tulionao Makocha waliopita Hodgson, Dalglish na Rodgers walikuwa wskitusainia wachezaji aina ya Henderson, Downing, Allen, Spearing, Charlie Adams, Lallana, Kolo Toure, Lovren na Wapumbavu wengi tu wa Calibre ya hao ambao ni average na wa bei za kununua Nyanya.

Lakini tukiwa na Matajiri hawahawa FSG chini ya Kocha Klopp tunasaini wachezaji wa aina ya Mane, Salah, Allison, Fabinho na VVD ambao ni talented bei zao zinaendana na Soko.

Sasa hapo je tatizo ni Tajiri, CEO, Makocha au Scout teams zinakuwa na udhaifu katika kuidentify Targets sahihi?

Ni wazi kuwa Scout team pamoja na Kocha hawapo vizuri ndiyo sababu ya kusajili failure signings.
 
Ss ni manure....tunashabikia mapato yetu mazuri na jezi tunauza sana....ss ni wanoma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…