SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Ndiyo, ya ligi kuu. Ila yote aliyachukua ligi ikiwa inaitwa daraja la kwanza. Tokea ianze kuitwa Epl(Primier Ligue) hajawahi kuchukua.
Eriksen atoke Uefa akacheze Europa?? Eriksen atoke kweny timu yenye uwakika wa top four aende kwenye timu inayosuasua? Atakuwa amelogwa labda..Kama pogba akiondoka pale united, board ifanye namna imchukue eriksen wa Tot
Kiungo mchezeshaji mzuri huyu Mdenishi.Kwangu ni zaidi ya Pogba kwa sababu ya "his consistency".Kama pogba akiondoka pale united, board ifanye namna imchukue eriksen wa Tot
Mbona katuni inaonyesha kama Liverpool wamelikaribia kombe zaidi ya Man City?Verdict: Fake news.The vice versa is true...
Halafu eti Liverpool wana nguvu kuliko City manake wao wako watatu hafu city wako wanne na bado wamelikaribia kombe zaidi.Mbona katuni inaonyesha kama Liverpool wamelikaribia kombe zaidi ya Man City?Verdict: Fake news.The vice versa is true...
kwahiyo Pulisic amelogwa?Eriksen atoke Uefa akacheze Europa?? Eriksen atoke kweny timu yenye uwakika wa top four aende kwenye timu inayosuasua? Atakuwa amelogwa labda..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo Pulisic amelogwa?
Aende zake tu hype playerKirusi kinaondokaView attachment 1083117
Nimecheka.Halafu eti Liverpool wana nguvu kuliko City manake wao wako watatu hafu city wako wanne na bado wamelikaribia kombe zaidi.
Uoni Chelsea Ana uhakika wa top four. Pulisic yuko njia sahihi...kwahiyo Pulisic amelogwa?
mrudisheniHuyu John Evans hadi anatamanisha jinsi anavyocheza