atakapoondoka marcos rojo hii namba 16 ni bora apewe scott mctominay, sielewi kwa nini tunataka kuingia kwenye mtego wa media za kiingereza za kutaka kumsajili declan rice.
hivi rakitic pamoja na arthur melo walikuwepo uwanjani?
kama yupo mdau anayeamini siku moja rashford atakuwa mchezaji bora basi aendelee kuwa na imani hiyo mpaka kufa kwake.