Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hata wakipigwa 2-0 watashangiliaHii mechi ikiisha hivi hivi Man U watashangilia huwezi amini....
Kuna mtu anamuelewa huyu Ashley Young?
Yamebaki hivyo hivyo, una lingine?Matokeo yakibaki hivi hivi nyumbu watadai wao ndio wameahinda
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Acha kuwapangia watu cha kukomentiNaona kuna mbweha mmoja shabiki uchwara wa ""asenane"" anabweka bweka hovyo humu ndani mpaka kero.
Smart guy
Hivi wewe ni loserpool?Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Mipira yake yote imekufa hata kupiga pass fupi zilizotulia ameshindwa.Hajapiga cross hata Moja.. Halafu ndo walioongezewa mikataba na kujihahikikishia ulaji pale OT
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huu nyumbu ndio kamaliza , UCL out. EPL nafasi ya 6
Aisee! Mimi nikajua aseno yupo. Sasa kwann unasumbua wanaume walio uefa wakati katimu kako hakapo uefa?Yupo barca
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Na wewe acha kelele ,UCL msimu ujao hutakuwepo,Aisee! Mimi nikajua aseno yupo. Sasa kwann unasumbua wanaume walio uefa wakati katimu kako hakapo uefa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema niniHivi wewe ni loserpool?
Acha papara wewe ni yupi huyo niliyempangia cha kupost au kukoment humu acha kudandia dandia vitu usivyovijua, shauri yako.Acha kuwapangia watu cha kukomenti
Kwahiyo huyu jamaa ni kahaba