Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
OK ,ngoja tuone mpira utaishajeHaijalishi kama sisi tulishanufaika lakini kiukweli inaharibu ladha ya soka
Mzee baba toa hiyo signature aseeOK ,ngoja tuone mpira utaishaje
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
InakukeraMzee baba toa hiyo signature asee
Nakuunga mkono,var ni jipuHaijalishi kama sisi tulishanufaika lakini kiukweli inaharibu ladha ya soka
Hata kama ni mahaba yamezid, penat gan ileRefa katunyima penalty hapa, Pique kamlima kwanja McTominary live Bila chenga
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
Ile siku na PSG hatukusikia haya maneno
Tangu Word cup mimi naipingaIle siku na PSG hatukusikia haya maneno
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Shida wanamdharau
isingekuwa hiyo ungetoboa kwa PSGVAR inaharibu ladha ya soka asee dah
Et Leo var inaonekana takataka