Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mm binafsi siipendi MUFC lkn si anapokutana na hao wabaguzi wa rangi maarufu duniani kuliko timu yoyote ile(Barcelona).

Sent using Jamii Forums mobile app
Solution ni moja tu manyumbu azabuliwe

Kama ubaguz hata manyumbu ni wabaguz, waafrika waliocheza manyumbu wanahesabika, huwez kufananisha na barca

Hivo hoja yako ni mufilisi

FT

Nyumbu 0 barca 5

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Winger yakulia

Dalot

Manyua mnavituko

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Sawa lkn tafadhali sana usilazimishe tufanane Chifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manyua wamezima simu wameweka chaji ,wanasubir wapate sare waje kubwabwaja

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hii gemu ya leo inavyonitia presha ni kama umechukuwa mke wa mtu halafu unapewa habari mwenye mke kajuwa na anakutafuta.

.
Mkipigwa itapendeza zaidi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Sawa mtabiri mzee tambitambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…