Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inaeza ikafika Dakika ya tisini mechi ikawa bila bila ..lakini mpira ukaisha Barca anaongoza mbili ..hahaha

Uku kuna Messi, uku Suarez ..ukimkaba Messi Suarez akuachi ..mbaya zaidi kuna Coutihno ..uyo anaijua vizuri manure..achilia mali Rakitic ambaye akabiki ..kuna uyo Arthur ni balaa ..sisi manure sioni tutatokea wapi.

Dah! hahahahaha mpka uruma yani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri siku ya Futuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Marcus Rashford is nearing a new contract with Manchester United that will pay him £78 million ($102m) over five years. [mirror]
  • Rashford has asked to United to give him Wayne Rooney's old £300k/week terms. [mirror]
hili gazeti uchwara linapaswa kufungiwa lisiandike habari zinazoihusu klabu ya man utd.
 
Haaa ha hhhaaaaaa
 
Wakati United anakutana na hio miamba usiku wa UCL wa Jumatano,

Chelsea siku ya futuhi, Alhamisi atakutana na sijui Ngadeo - Ngadjui, Kudela, Boril

Funy, but not funy
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…