kushinda quadruple sio kazi rahisi aise.
Kwenye kuchagua kati ya City quadruple na liverpool epl title, hili swali ni gumu kwa United fan. Kwa upande wangu ni bora wote wakose.
Sent using simu mbovu
Leo kama kawaida tunaishangaza Dunia!!Yupo swafi kiafya. View attachment 1067396
Kwa kupigwa kitu cha[emoji870] 5G sio?Leo kama kawaida tunaishangaza Dunia!!
Sina sababu ya kuongea sana. Enjoy the RideKwa kupigwa kitu cha[emoji870] 5G sio?
Umelewa au unaota?Breaking news
*Messi ameamka mzima wa afya, huku akisema "jiji la Manchester lina hali ya hewa safi sana kwa kazi"*
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu acha zako bhana, wewe sio mchambuzi wa soka wa kimataifaKwanza mimi siyo Man U , mimi ni mchambuzi tu wa soka wa kimataifa
Nasikia mgonjwa ataanza kukata roho saa tano kasoro usiku,
Inatia huzuni sana.
Vikosi hivyoView attachment 1067492