Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Phil Neville: “The two signings in the back four would be Raphael Varane from Real Madrid and Joao Cancelo from Juventus. Cancelo, I worked with him at Valencia and have seen him at Juventus and I think he's top drawer." #mulive [sky sports

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rahisi tu,

Pogba ni mercenary, anafanya United kama daraja la kwenda kucheza kwenye timu za ndoto zake (Madrid na Barca, ametamka wazi)

Wakati Herrera play for the badge (calibre ya akina Roy Keane)

Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba akihama Man u itakuwa stable sana kwenye Midfield kwani Pogba anafanya makosa mengi sana yanayotugharimu kila mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Man u wasimsajili Harry Maguire badala ya huyo Raphael Varane ambaye Madrid watahitaji mzigo mkubwa sana ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba akihama Man u itakuwa stable sana kwenye Midfield kwani Pogba anafanya makosa mengi sana yanayotugharimu kila mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah HIV man u mnataka wachezaj wa aina gani lakini,

Mimi katika viungo nawakubali ni Paul pogba ,ana skills, ana mashuti, anajua kuassist, ana nguvu

Mnataka kiungo wa namna gani tena, huyu jamaa ni kati ya viungo bora watano duniani,

Kwanza pogba ndio mchezaji ambaye anaingia MOJA kwa MOJA kwenye falsafa ya man u ,ya kuattack kwa kushtukiza , anajua kutuma ile mipira ambayo huwa Mara nyingi rashford au lukaku wanafaidika nayo.

Huyu jamaa mtafutieni watu wakueleweka kama wawili tu, Pogba ni hatari sana, muangalie game za France , juzi kampa pasi MOJA Grizeman ,ile assist ni ya kiufund sana,

Sasa pogba mtafutien watu ,walio clinical,

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Hawa jamaa wanaongea tu sidhani kama wanaelewa wanachokisema! Pogba ni level ya World class alafu utasikia wengine wanasema ni mchezaji wa kawaida aisee!
 
Rahisi tu,

Pogba ni mercenary, anafanya United kama daraja la kwenda kucheza kwenye timu za ndoto zake (Madrid na Barca, ametamka wazi)

Wakati Herrera play for the badge (calibre ya akina Roy Keane)

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu nambie mnataka Pogba acheze namna gani ili mjue kuwa anaipambania timu??

ni kweli Pogba aipambanii timu??
 
Pogba akihama Man u itakuwa stable sana kwenye Midfield kwani Pogba anafanya makosa mengi sana yanayotugharimu kila mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu afadhali na wewe umeliona kama mimi. Tumekuwa tukimwangalia pogba kwa mazuri yake ila ana makosa mengi sana ambayo hutegemei kuyakuta kwa average midfield player. Mbaya zaidi tunafanya build up kupitia kwake.
 
Pogba akihama Man u itakuwa stable sana kwenye Midfield kwani Pogba anafanya makosa mengi sana yanayotugharimu kila mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madogo wengi wanakaza sana pale kati.
Mimi huwa nachukia sana kumuona Pereira bench wakati anaweza kucheza nafasi nyingi tu na akafanya vizuri.

Kumuona Pogba anacheza 10 wakati mata yupo bench ni kama kumtusi Mata.
 
Yaani Mata huyu mchovu unataka kumlinganisha na Pogba..acheni utani wazee

Leta statistics za assist tu za Mata vs Pogba

Pogba ndo mchezaji wetu bora kwa miaka hii miwili ukimwacha degea kwa upande wangu

Unajua muda mwingine sisi mashabiki sijui tunakuwaje..kuna wengine hadi wanataka kusema kuwa Rashford ni lethal kuliko Lukaku
Kuna madogo wengi wanakaza sana pale kati.
Mimi huwa nachukia sana kumuona Pereira bench wakati anaweza kucheza nafasi nyingi tu na akafanya vizuri.

Kumuona Pogba anacheza 10 wakati mata yupo bench ni kama kumtusi Mata.
 
Mkuu tatizo la Pogba sio kutokujua, tatizo lake ni akili yake haijatulia na MUFC. Yupo mguu nje mguu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…