Huyo Wajuu hata goli 5 hana, Toa Sanchez, toa Mata toa hiyo Jones , toa Valencia, Ingia sokoni vuta skiniar wa inter paun 94ml badala ya koulinaly wa paun mil 150 huko..... Vuta Sancho, Vuta rabiot, vuta ndombele, Aouar au Fernandez hawa mmoja atafaa...nunua Wan bisaka namba 2 then ikitokea ofa nzuri uza martial pandisha Gomez na Chong wagombee namba kushoto kule..... 9 tusisajili greenwood apewe nafasi zaidi..... De Gea akizingua uza leta Den Henderson amchallenge Romero...
Duh yaan Martial auzwe ili vitoto vya team B vipandishwe?Huyo Wajuu hata goli 5 hana, Toa Sanchez, toa Mata toa hiyo Jones , toa Valencia, Ingia sokoni vuta skiniar wa inter paun 94ml badala ya koulinaly wa paun mil 150 huko..... Vuta Sancho, Vuta rabiot, vuta ndombele, Aouar au Fernandez hawa mmoja atafaa...nunua Wan bisaka namba 2 then ikitokea ofa nzuri uza martial pandisha Gomez na Chong wagombee namba kushoto kule..... 9 tusisajili greenwood apewe nafasi zaidi..... De Gea akizingua uza leta Den Henderson amchallenge Romero...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Harry Maguire bei gani?..Huyo Wajuu hata goli 5 hana, Toa Sanchez, toa Mata toa hiyo Jones , toa Valencia, Ingia sokoni vuta skiniar wa inter paun 94ml badala ya koulinaly wa paun mil 150 huko..... Vuta Sancho, Vuta rabiot, vuta ndombele, Aouar au Fernandez hawa mmoja atafaa...nunua Wan bisaka namba 2 then ikitokea ofa nzuri uza martial pandisha Gomez na Chong wagombee namba kushoto kule..... 9 tusisajili greenwood apewe nafasi zaidi..... De Gea akizingua uza leta Den Henderson amchallenge Romero...
Sent using Jamii Forums mobile app
Icard ni gambling kuja epl.Lukaku bado ni potential aise ulimwengu wa sasa una pure 9 wachache sanaKwani Harry Maguire bei gani?..
Douglas Costa je?... Anderson wa west ham bei gani?
Uza Lukaku, Mata, Rojo .. leta Mauro ICARDI.
Acha Martial akomae united ,azidishe kujituma, apunguze kiburi.
Aisee..!
Huo ni mkataba mpya alio sign januaryAisee..!
Martial ndio anavuta mkwanja mrefu hivyo..?
Duh...
Huyo Wajuu hata goli 5 hana, Toa Sanchez, toa Mata toa hiyo Jones , toa Valencia, Ingia sokoni vuta skiniar wa inter paun 94ml badala ya koulinaly wa paun mil 150 huko..... Vuta Sancho, Vuta rabiot, vuta ndombele, Aouar au Fernandez hawa mmoja atafaa...nunua Wan bisaka namba 2 then ikitokea ofa nzuri uza martial pandisha Gomez na Chong wagombee namba kushoto kule..... 9 tusisajili greenwood apewe nafasi zaidi..... De Gea akizingua uza leta Den Henderson amchallenge Romero...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia na jones hapo, 120000,Duh...
Basi kijana ana bahati sana,kiwango chake hakilingani na pesa anayolipwa..!
Mkuu martial kinga sana huwezi chukua ub8ngwa na martial nakwambia.....lichezaji zembe zembe tu halijitumi
Ila tunaweza kuchukua ubingwa kwa kumtegemea GOMEZ na CHONG??... uko siriaz kweli mkuu?Mkuu martial kinga sana huwezi chukua ub8ngwa na martial nakwambia.....lichezaji zembe zembe tu halijitumi
Sent using Jamii Forums mobile app
I wish Herrera angecheza enzi zile... dogo anajitoa balaaSikia Hii,Sahiv tunakosa watu kama kina Keano,watu kama hawa siku hizi kwenye mipira wapo wachache sana aisee! Ma captain wafia timu
I wish Herrera angecheza enzi zile... dogo anajitoa balaa
Kuna muda sielewi kwa nn ANDER anakosa namba united?... Huyu dogo namuelewa sanaAisee ingekuwa hatari mzee..maana kipindi kile wachezji kiungo tuliokuwa nao ukitoa scholes wengi walikuwa sio wazuri technically ila walikuwa wanajitoa 200% yaani walikuwa na mentality ya ushindi tu! naona jamaa angefit vizuri sna
Duh...
Basi kijana ana bahati sana,kiwango chake hakilingani na pesa anayolipwa..!
Man city wanataka kumsahili Saul Niguez msimu ujao..Pep anataka sana achukue UCL pale city na jamaa wanampa watu