Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,020
- 51,537
Mmeanza yaleyale ya mou
Sasa mkipigwa mech 5 kati ya zikizobak ,si mtasema Ole hafai
Sent using Jamii Forums mobile app
Kepa.. kepa huyu ninae mjua? Angemkata degea number team ya taifa.Sasa De Gea anaeza mueka benchi Kepa kweli? Kepa kwa umri wake ameprove kwamba yeye ni mara kumi ya uyo De Gea na anastahili namba moja national timu..
Akitoka Oblack..
Ni Allison..
Kepa..
Leno..
De Gea..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba ni kirusi sana. Ni kirus kimoja hatar. Kirus hiki kiondoke. Pogba aondoke kirus yule
Mimi ni Chelsea fan tangu Mou atue pale darajani lkn huyo Ollachuga amemkosea sana Degea heshima kumlinganisha na Kepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
unafuatilia hizi kelele za waingereza kuhusiana na performance ya dean henderson?Yani huyo dogo amtoe romero you must be joking to me romero na de gea hawapishani sema tu romero hachezi daily
Sent using Jamii Forums mobile app
unafuatilia hizi kelele za waingereza kuhusiana na performance ya dean henderson?
mechi saba zilizopita sheffield united hawajaruhusu goli unafahamu hilo?
umemsikiliza kocha mkuu wa uingereza alichokisema kuhusiana na dean henderson?
sipendelei kumuona david degea akiondoka manchester united lakini endapo kama real madrid wataonyesha nia ya dhati ya kumhitaji david degea basi kuna uwezekano mkubwa wa kurudi nchini spain.
tujaalie david degea amekataa offer ya kubaki manchester united unadhani target ya manchester united itaelekezwa kwa goal keeper yupi?
target yao ya kwanza atakuwa ni pickford haijalishi anazidiwa uwezo na magolikipa wengineo na usiniulize kwa sababu gani.
- oblak
- handanovic
- pickford
- thibaut curtois.
- hugo lloris
target ya pili atarudishwa dean henderson kutoka sheffield ili agombanie namba na sergio romero.
mkuu kama unaamini sergio romero atamweka nje dean henderson kwa msimu mzima chini ya OGS basi sawa endelea kuwa na imani hiyo.
baadhi ya nyakati kuzielewa akili za waingereza ni ngumu zaidi kuliko kuwaelewa walalahoi wanaopigia kura chama tawala kwa zawadi ya khanga na vitenge.
hiyo ndio ilikuwa ni hoja yangu lakini jamaa ameshindwa kunielewa.Hawa jamaa kwa kupenda na kuvikuza vyao ni hatari. Wanaweza kukuaminisha Rashford ni bora kuliko Mbappe.
Hawajui waingereza huyu, iwapo anaondoka degeaunafuatilia hizi kelele za waingereza kuhusiana na performance ya dean henderson?
mechi saba zilizopita sheffield united hawajaruhusu goli unafahamu hilo?
umemsikiliza kocha mkuu wa uingereza alichokisema kuhusiana na dean henderson?
sipendelei kumuona david degea akiondoka manchester united lakini endapo kama real madrid wataonyesha nia ya dhati ya kumhitaji david degea basi kuna uwezekano mkubwa wa kurudi nchini spain.
tujaalie david degea amekataa offer ya kubaki manchester united unadhani target ya manchester united itaelekezwa kwa goal keeper yupi?
target yao ya kwanza atakuwa ni pickford haijalishi anazidiwa uwezo na magolikipa wengineo na usiniulize kwa sababu gani.
- oblak
- handanovic
- pickford
- thibaut curtois.
- hugo lloris
target ya pili atarudishwa dean henderson kutoka sheffield ili agombanie namba na sergio romero.
mkuu kama unaamini sergio romero atamweka nje dean henderson kwa msimu mzima chini ya OGS basi sawa endelea kuwa na imani hiyo.
baadhi ya nyakati kuzielewa akili za waingereza ni ngumu zaidi kuliko kuwaelewa walalahoi wanaopigia kura chama tawala kwa zawadi ya khanga na vitenge.
Herrera to PSG for free
And yet someone tells me we should not blame Ed Woodwards/Glazer siblings for Man Utd miseries
On July Herrera will be free to go for free, from January he was free to talk to any club outside England and yet United hierarchy show no urgency to tie him down
Yeah, it is a rumour but every signing start with the rumors
Sent using Jamii Forums mobile app
wew jamaa utakuwa hujisomi wew kwani nani ni goalie namba 1 walikuwa Spain hahahahahahaha.... Kepa angekuwa mzuri si angecheza pale Spain then Madrid kumuacha Kepa na kumfuata de Gea inaonesha wazi DDG ni goatDe Gea haingii hata nusu kwa Kepa afu mnataka akienda Madirid mpewe na Isco na pesa!! Acheni utani nyie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Either Pogba anataka kuongezewa mshahara kwenye mkataba mpya au anajifanyia promo Perez amsajiliPOGBA: PLAYING FOR ZIDANE 'A DREAM'
Paul Pogba has admitted it would be a "dream for anyone" to play for Zinedine Zidane, a week after the Frenchman returned to become Real Madrid's manager for a second time.
Full story: Paul Pogba admits playing for Zinedine Zidane at Real Madrid would be a 'dream' Sky Sports Premier League on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Herrera to PSG for free
And yet someone tells me we should not blame Ed Woodwards/Glazer siblings for Man Utd miseries
On July Herrera will be free to go for free, from January he was free to talk to any club outside England and yet United hierarchy show no urgency to tie him down
Yeah, it is a rumour but every signing start with the rumors
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bwana kwa kupenda kulialia ushasema ni Rumors sasa unalalamika nini mkuu? akisign huo mkataba kesho je utasemaje? kuwa reasonable mzee,hata kama kagoma kusign mfano hilo ni kosa la Woodward na Glazers kivp? mkataba si upo mezani?? ww ukiletewa mkataba mpya na boss wako ukakataa kusign hilo ni kosa la nani?
Unadhani huyu mtu yupo serious na timu yako, timu ya dunia?Kwanini mnasema pogba ni kirusi wakuu naombeni sababu zenye mashiko na sio bla bla
Kwa mantiki hiyo hakukuwa na haja ya kuwapa mkataba kina Jones, Smalling na Young.Ukiona wameruhusu mtu kama Herrera aondoke ujue Kuna summer spending ya dunia inakuja OT.... Na huenda labda ole ndo amemkataa maana kocha Kama anataka mchezaji abaki basi atabaki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca wameshamsajili Frenkie De Jong na wanapigana kumpata De Ligt,Bayern wameshamsajili Pavard na wako hatua za mwisho kumsajili Lucas Hernandez na Timo WernerUkiona wameruhusu mtu kama Herrera aondoke ujue Kuna summer spending ya dunia inakuja OT.... Na huenda labda ole ndo amemkataa maana kocha Kama anataka mchezaji abaki basi atabaki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kuna wafanya maamuzi ambao hawapo serious kabisaBarca wameshamsajili Frenkie De Jong na wanapigana kumpata De Ligt,Bayern wameshamsajili Pavard na wako hatua za mwisho kumsajili Lucas Hernandez na Timo Werner
Real Madrid wameshamsajili Eder Militao na wanapigana kusajili wachezaji karibia 3 Manchester United klabu inayogenerate faida kubwa bado iko usingizini key players (Pogba,De Gea,Herrera ) wanahusishwa kuondoka while hakuna dalili za Darmian,Jones,Rojo kuondoka pia ni karibia mwaka wa 6 Manchester United haina right winger,tumejaribu kuwachezesha Valencia,Young na sasa Dalot ambaye alisajiliwa kama RB ndio winger wa kulia
Mkuu Herrera hajagoma ku sign mkataba, ni kwamba Woodward haoni haraka ya kumsainisha Herrera kwa kuwa anaamini kuwa Herrera atasaini tu (yaani kuku wako manati ya nini).
Yaani Ed ha push enough kuhakikisha mikataba ya wachezaji muhimu inasainiwa mapema. Mezani Woodward ameweka mkataba wa 120,000 kwa wiki na PSG wapo tayari kutoa 150,000 kwa wiki na pia watatoa sign on fee, huoni kama kuna hatari ya kumpoteza.
Uzembe wa Ed ni kusubiri mkataba uishe ndio aanze negotiation, hii inaiweka United kwenye mazingira magumu. Kwa timu nyingine, zinapoona mchezaji wao muhimu mkataba umebaki miaka miwili au 1 na nusu wanamsainisha mkataba mpya.
Tatizo Ed anaona akisainisha mchezaji mkataba mpya atalazimika kutoa mshahara mkubwa, hajui mchezaji kama Herrera akiondoka kum replace itahitajika hela kubwa ya kununua mbadala wake na hapo hatujaongelea mshahara atakao demand huyo mchezaji mpya.
Halafu hizo ni rumours kweli lakini, haziondoi ukweli kwamba akina Ed wanafanya uzembe kwenye kusainisha wachezaji kwa wakati. Angalia Degea mpaka sasa ndio wanaangaika, lakini wangeanza mazungumzo miaka miwili kabla ya mkataba kuisha sasa hivi angekuwa ameshasaini. Hata kwa Fellaini alichelewa sana kumsainisha, mwisho wa siku akalazimika kumsainisha lakini kwa kumpa mshahara mkubwa kuliko uwezo halisi ya Fellaini.
Sent using Jamii Forums mobile app