Wachezaji watakuwa na mzuka kesho.Southampton wameturahisishia kazi, tukipiga Arsenal 6 kesho tunashika nafasi ya 3 kesho hiyo hiyo na hatutaiachia tena. Zile 8:2 zinanukia tena.
Haswaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bana. Tunakushukuru kwa kuwa active Member wa Uzi huu.
Anabishana tu huku matokeo anayo moyoni[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bana. Tunakushukuru kwa kuwa active Member wa Uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh.Marcelo kasaini juventus miaka 4 , huku pep gurdiola nae kasaini kuwa kocha wa juve kuanzia msimu ujao kwa miaka 4View attachment 1041952
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hatutakiwi kuwadharau kiivo arsenal , soccer lina matokeo ya ajabu wakuu
Taarifa ya Marcelo tayari confrimed mkuu
Ivi huyu sio Arsenal aliyejificha ktk kivuli cha barcelona?Mfunge kwanza Lyon ndio uje kupiga kelele uku.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ollachunga nakumbuka walipopigwa kata-funua na city hadi alizimia akajipa ban..mwenzie eden kimario ana headache hadi leo hayuko poa...
Southampton (the saints )ni timu moja ya ajabu sana inasifika kuwa na academy iloibua vipaji lukuki huku Liverpool akiifanya kama soko matola yake kwa kuchukua wachezaji wengi hapo. Sijui huwa wanakwama wapi?Spurs anafanya maisha yawe marahisi sana..
Man city fans watakua na Tot ila Iyo game liverpool awe serius...ishu za ubingwa watapigana na city kivyao..watuchafulie tot kwanza hlf tuwaache 3 points wakat tunafikiria leo. Tot fans watakua na Man city wakat tukicheza na Man city wakat liverpool fans atakua nasi tukicheza na CityNext game ni spurs vs liverpool....tukitulia tunaenda nafasi ya tatu vizuri
Mkuu nimeuliza mpaka sahizi mpo nafasi ya ngapi?? [emoji23][emoji23][emoji23] it's a shame for your team na hivi hamsajili kwa moja 2 nakuhakikishia champions league mtaisikiaga tu katika story za vijiweni