Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimesoma maneno yako hadi mwisho na maneno ya mwisho umeandika "Hahahaaa i love this game" haya maneno anasemaga patrice evra mwenye DNA ya united...sasa wew kuna namna una DNA ya man u..bora utusapot tu
Kwa hiyo kuna maneno maalumu kwa ajili ya watu fulani ambapo wakiongea wengine tayari itakua nongwa. Hayo maneno aliyaanzisha EVRA siyo.?

Mashabiki wa mwanitesa utd bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa.. Mnajisahau mnoo. Tukutane jioni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumia muda wako vizuri coz jioni utapotea hapa manake nawahakikishia leo munaliwa 4G

Tayari nimeshakodi Viti 400 kwa akili ya Matanga

Sasahivi natafuta mtu wa Kukodi Matents tu na Maturubali, Kula kila mtu kwao.
 
hahahahahhaaaaa lakini ushindi wa man city ni hasara kiupande wako, upande mwengine ni bora adui mkimya kuliko adui mwenye kelele.
 
Tumia muda wako vizuri coz jioni utapotea hapa manake nawahakikishia leo munaliwa 4G

Tayari nimeshakodi Viti 400 kwa akili ya Matanga

Sasahivi natafuta mtu wa Kukodi Matents tu na Maturubali, Kula kila mtu kwao.
Hivi ule msiba wa 4G kutoka kwa Bournemouth wewe ndio ulikuwa kamati ya chakula? Ulibana sana bujeti mkuu. Msiba unaokuja mimi ndio nitakuwa kamati ya chakula.
 
Kati ya Jones na Bailly nani utampanga na Lindelof jumanne??

United Fan
 
Tumia muda wako vizuri coz jioni utapotea hapa manake nawahakikishia leo munaliwa 4G

Tayari nimeshakodi Viti 400 kwa akili ya Matanga

Sasahivi natafuta mtu wa Kukodi Matents tu na Maturubali, Kula kila mtu kwao.
Mkuu usiumize kichwa. Matent ninayo mwenyewe wala usihangaike kwenda kukodi. Mtayapata msibani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua mashabiki wengi sana wa Man United wimbo wao wa taifa kwa sasa ni Pogba, Rashford, Martial , De Gea au Lindelof na hakika wamekuwa wakionesha kiwango kizuri sana lakini kuna huyu mwanaume kutoka Basque , Athletic Club Bilbao ANDRR HERRERA .

Pogba tangu Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa iwe nyuma yake au pembeni yake kuna watu walikuwa wanafanya kazi nyuma ya pazia au chini ya kapeti ( Arturo Vidali , Claudio Marchisio , Kante , Matuidi ) na walikuwa wanampa kitu tunasema ‘ MENTAL FREEDOM ‘ kwamba hana wasiwasi hata akipoteza mpira kwasababu kuna watu wanampa usalama na ndio hatari yake bwana Labile inapokuja hapo .

Ndani ya Old Trafford ana huyu ‘ Classy number 8 ‘ chini ya Marcelo Biesla ambaye alikuja OT na Bilbao na kukichafua sana dhidi ya United katikati ya uwanja , lakini sasa amekuwa kama ruba vile au washawasha hakuachi hata kisigino , mapafu yaliyojaa upepo wa kutosha , alikosekana mechi dhidi ya Burnley kilichotokea katikati ya uwanja mashabiki wa United hawahitaji kusimuliwa.

Pogba amepata ‘ INJINI ‘ inayomruhusu gari lake kutembea kokote pale anapotaka kwenda ‘ HERRERA’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…