Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
Mbona hukumu ilishatolewa kwa mourinho kufutwa kazi pale united ...mourinho alifanikiwa kuharibu timu yetuBado tuna kesi na Mou kuhusu herrera hii kesi siimalizi hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhahahahahPhil Jones kapiga on target nje ya box kama Lampard
[emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atoke herrera kumlinda aingie fred maana majamaa yanacheza rafu sana
mpo nafasi ya ngp nimesahau mzeeMan u ndo timu pekee ambayo nina uhakika wa kuchukua point zote tatu.
Zingine Nita struggle hata kwa draw tu
Sent using Jamii Forums mobile app
pale mgonjwa wa ukimwi anaposikia dawa za ukimwi zimegunduliwa tandalePep gurdiola:" sawa, man cty tutapoteza point ila liverpool nao pia hawajaenda Old Trafford kucheza na utd".
Hapa pep anatuaminisha kuwa piga ua galagaza liver haondoki na point OT [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Top four mwisho kesho.Rudi usingizini kuendelea na ndoto yako.
Pambania nafasi ya 5 ukilegeza tuu unaenda ya 6.
wanafalisafa ha ha ha haUmoja wa wanaufaransa wenzetu duniani, Kwa pamoja tunatambua mchango wao ndugu Martial na Pogba wanaouonyesha pale Man UTD..
Sent from my SM-T560 using JamiiForums mobile app
kajamaa kadogo kanasumbua.mpo nafasi ya ngp nimesahau mzee