Lo celso Jr
Member
- Jan 15, 2019
- 60
- 94
Yeah muhimu ni kuamini katika mpira wetu tunaweza kupata matokeo positive sijawadharau mkuu najua game zilipita burnley ni kama wameanza kufufuka hivi but let's hope for the best ladsBurney mechi zao 3 za mwisho ameshinda zote mkuu
So sio wa kumdharau kiivyo
But tukicheza mpira wetu tutashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazihitaji sisi hizo zaidi kuliko wao wanavohitaji hata loint 1 mkuu hope pia hii rotation itakuwa poa leoon paper oh yeah ila kwenye pitch tusubiri dk 90 according to our starting XI
*pointTunazihitaji sisi hizo zaidi kuliko wao wanavohitaji hata loint 1 mkuu hope pia hii rotation itakuwa poa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
good to see Pereira given a chance nategemea makubwa kutoka kwake