Kwa kukazia mkuu hivyo vyote hujadiliwa sana tu.Ila ubishani na wadau wa timu nyingine ni muhimu na una nafasi yake kwani huchangamsha threadmkuu hivyn ulivyowasilisha hata wewe unaweza kuanzisha na watu wakaanza kujadili.
mpira bila kumuongelea mpinzani hasa nguvu na udhaifu wake na utani pia huo sio mpira.
nawasilisha
Fixture ni ngumu sana..inamaana ndani ya wiki 5 tutakutana;-
1.PSG(Mara mbili)
2.Arsenal
3.Chelsea
4.Liverpool
5.Man city
Ni ngumu kupata point zote ila tutajitahidi tuwezavyo GGMU!! GGMU;!!
Mkuu mbona huwa tunajadili sana kuhusu UnitedFrankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli huu ni ubatizo wa Moto, yani tunatakiwa kishinda kwenye uwanja ambao tulisha sahau kushinda.
Sijakataa maoni yako ila nadhani usiwe ubishani wa Kuongelea timu nyingine mie ntakua nahisi kuwa weweni mshabiki wa Asernal na umelike Manchester Utd ili uwatoe watu mapovu . nadhani sio sehemu sahihimkuu hivyo ulivyowasilisha hata wewe unaweza kuanzisha na watu wakaanza kujadili.
mpira bila kumuongelea mpinzani hasa nguvu na udhaifu wake na utani pia huo sio mpira.
nawasilisha
Acha ushamba wewe..Frankly speaking, napataga shida sana nikiingia kwenye uzi wa ManUtd na mie nikiwa ni mpenzi namba moja wa Timu hii, kukuta kuna comments au mabishano kuhusu timu za Asernal, Chelsea, nk sionagi u maana . Mie nilidhani kuwa kutakuwa na mijadala yaperfomance ya Team, Usajili ili kuimarisha team, Fixtures, Gaps, Predictions, Line ups for upcoming match, na kadhalika na kadhalika kwa maendeleo ya team. NAOMBA KUWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli huu ni ubatizo wa Moto, yani tunatakiwa kishinda kwenye uwanja ambao tulisha sahau kushinda.
Meanwhile city na kosi lake lote lile anacheza na Doncaster.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo huu ndio uzi wa misukule ya old traford tunawasubiri darajani kwenye FA tuwape dozi mrudi mmejikunyata.
Yani nasemaje nyie kipigo kinawahusu
Toka ole achukue timu kuna wachezaji wametumika sana...ningependa angefanya rotation leo kuanza kujiandaa na february
Ni saa tano kamili usiku mkuu