Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Wala usijipige ban hii jf ni burudani na pia inatufundisha mengi utakuwa umekosa kitu kikubwa sana. Tunafurahi sababu kipindi kirefu tulicheza mpira haueleweki wala hauna matumaini kama hilo dogo kwako kwetu sisi ni kubwa sanaMan U ikimaliza Top4 nitajipiga ban JF na kutembea posta bila nguo.
Msisahau Jmos kutakuwa na msiba humu wale Brighton wanaenda kuharbu kibarua cha Ole.
hivi mechi ya mzunguko wa kwanza Chelsea vs Manchester United ilikuwajeKikosi ni kibovu, cheza na Chelsea au City ukimtegemea Lingard halafu beki Phil Jones
hivi mechi ya mzunguko wa kwanza Chelsea vs Manchester United ilikuwaje
Mbona hueleweki weweUlimuona hiyo match huyo Lingard wako?
Chelsea huwa wanamfanya Mane acheze kama Full back licha ya uwezo ule wa Sadio Mane halafu umtegemee Lingard akupindulie meza versus Chelsea ya Sarri
Halafu kuna washabiki maandazi wanakuja na takwimu zao za kiduwanziNimeikuta hii some where
Angalia wanavyosema watu kuhusu De Gea, Alisson, Mou, Klopp, Kepa, Sir Alex Ferguson, na wengineo wamemsema.
Source: #SkySports
- Jose Mourinho : De Gea is not a goalkeeper.. he is the King
- Klopp :"If you have De Gea what more do you want? Maybe bars to celebrate wins and saves."
- Neymar : De Gea is a monster, not a human.De Gea is better than any goalkeeper by far. It will be a dream come true to play with him if I sign for #ManchesterUnited.
- Allison:"My role model is De Gea , he is the best ever goalkeeper the world has ever seen."
- Ronaldinho : David De Gea is the most complete goalkeeper i have ever seen. My son adores him"
- Kepa Arrizabalaga :Who said De Gea plays like me. Its a honour to be compared with the best player in the world"
- Drogba :"Many people know that De Gea is the best Goalkeeper in the world but they are afraid to say it."
- Pepe :"Comparing De Gea and another goalkeeper is like comparing an Alien with a human.
- Rafael Nadal :""The next time you compare De Gea with another goalkeeper , take a nap."
- Thomas Mueller : De Gea is the best player in the world, i just want him to win Ballon dor."
- Zinedine Zidane : De Gea is best goalkeeper in the world. Like it or Hate it
- Capello :"Give me De Gea and ten players. I will lift the Uefa Champions league."
- Sir Alex Ferguson :"De Gea is unbelievable."
- Marcelo :In our national team we are lacking a De Gea. An Angel."
- Iker Cassilas: One day I will tell my son, 'once upon a time there was De Gea'.
hivi mechi ya mzunguko wa kwanza Chelsea vs Manchester United ilikuwaje
Rudia kusoma post yako iliyonifanya nikakuulizahujaelewa nini?
Rudi uone tulianza kujibiana vipi , usianze tu moja kwa moja
Tuachie uzi wetu..unaandika vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la nne mwenye akili kidogo hawezi kuviandikaUlimuona hiyo match huyo Lingard wako?
Chelsea huwa wanamfanya Mane acheze kama Full back licha ya uwezo ule wa Sadio Mane halafu umtegemee Lingard akupindulie meza versus Chelsea ya Sarri
Tupo nao OT..nothing to worry sanaSiku hizi wikiend zinachelewa sana kufika
Ila wale BHA wanasumbufu kiaina
Tuachie uzi wetu..unaandika vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la nne mwenye akili kidogo hawezi kuviandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa iliolifanya Man U ni kumfukuza The special one MOU.
Huu upepo mnapopitia nawaapia baada ya gane ya PSG tutarud hapa kuweka matanga upya na soon ile kampen yetu ya OLE-OUT itaanza rasmi.
Hongeren kwa ushindi mwembamba dhidi ya team nyepesi inayochipukia kama spurs, pia mshukurun sana De gea.
Nawewe mtetee klopp ambaye anaenda mwaka wa 5 sasa hana walau Carabao, kazi ku hug hug tu wachezaji na ku lose finalsKuna Mjinga mmoja alikuwa Akimtetea Kwa Kila kitu Yule Mmakonde wa Msumbiji aliyepata bahati ya kuishi Ureno utadhani ni mume wa Dadaake..
Lakini Tokea atimuliwe Mmakonde basi Kaukimbia Uzi. 😀😀
Mbona mnatufundisha kuishi na timu yetu mkuu... mjiandae tu kisaikolojia Gari ndo tumewasha hiviKosa kubwa iliolifanya Man U ni kumfukuza The special one MOU.
Huu upepo mnapopitia nawaapia baada ya gane ya PSG tutarud hapa kuweka matanga upya na soon ile kampen yetu ya OLE-OUT itaanza rasmi.
Hongeren kwa ushindi mwembamba dhidi ya team nyepesi inayochipukia kama spurs, pia mshukurun sana De gea.
Kiufupi Unajua mpira na unatambua unaongea nini mkuu big up kwa hoja mzito zilizoshibaKieran trippier na davies walikua wanapanda kuja kuchezea juu kabisa ya mstari wa kati, hapo ndipo tulipotumia advantage ya martial na rashford pembeni ili kutumia mwanya wa kuwa alone kwenye flanks,
Rashford anaanzaga kati kama striker, lakini jana alicheza sana kulia na kushoto, lingard akatokea sana kati,
Angalia chances zote tulizopata, hakukuwa na defender wa spurs wa pembeni hata mmoja karibia kila chance,
Ilikua ni moja kwa moja either martial/rashford vs /vertonghen/toby,
Yani wings zetu zinapopata mpira zinafika moja kwa moja chumbani, sebule ya spurs hakuna mtu,
Angalia chance ya goli letu, angalia space aliokua nayo rashford, angalia davies alipokua, angalia wakati tripier ana-misplace pasi aliipotezea katikati kwenye mstari kabisa,
Rashford anapata pasi ya pogba, yuko moja kwa moja against last defender,
Angalia nafasi ya martial aliopiga kipa akacheza na miguu, alikuwa peke yake moja kwa moja against toby, anamchukua anapiga,
Angalia mpira ambao martial alishindwa kuucontrol ule, ilikua yuko peke yake against last defender,
Christian Erricksen alikua ana ochestrate game sana pale kati, karibia chances zote za spurs zilitoka miguuni mwa erricksen, kwenda straight kwa kane, kwenda kwa delle, kwenda kwa trippier apige krosi,
Sissoko alikuwepo kama engine ya kukokota mipira nyuma adi mbele, driving ya timu,
Lakini bado kwa technique waliokuja nayo spurs, hawakuchagua kuheshimu pace ya united iliopo kwa wale watu watatu wa juu na uwepo wa pogba chini yao ambae anaweza akapiga accurate pass pengine kuliko wengi pale Epl,
Waliamua bado kupeleka watu juu,
Naweza mlaumu potchetino kidogo,
Na hapa ndipo ninapoona potchy sio kocha mwenye mbinu za ushindi,
Unacheza na timu yenye pace kwenye counter, na umejaribu mara nyingi kupiga mashuti wanablock pale kati, beki wamejaa sana kati, kwanini usiwatanue pembeni???
Mipira mingi ya trippier kupitia pembeni ilikua na hatari zaidi kuliko, either ikisababisha rebound mbovu, au poor clearance, au direct header, ni wazi phil jones hawezi mdhibiti harry kane hewani, alizidiwa movement na harry kane, header zote za harry kane vs jones, kane aliwin header zote, hakuna clearance hata moja aliofanya jones vs harry kane,
Hata game iliopita ndio ilikua hivyo hivyo, alifunga mbele ya jones,
Game hii jones anapotezwa kila muda na kane, kane anapiga free header,
Sasa kwanini usiwafungue united ukamvuta lindelof pembeni?? kati akabaki jones ambae hawezi kummudu kane, ukapiga krosi ndani, kwanini usimlete son heung min akaja kulia, na lamela akaenda kushoto, ili kufungua defence ya united?? amekomaa kulazimisha son avunjie ndani kutokea kushoto ambapo kila akiingia anakutana na young na herrera pamoja, kule napo lamela kila akivunjia ndani anakuta watu wamesimama shaw na matic wameziba njia za mpira,
Lakini kama angechagua kwenda wide, ina maana angekutana na young pekee, kwa technique ya son au lamela wanaweza kupiga krosi juu, kwenye box la united kumejaa pogba na matic ambae hawapigi header haijalishi urefu wao, kuna herrera mfupi, shaw mfupi, jones ambae hamuwezi kane, sana sana lindelof tu,
Kitu kingine davies alikua hafanyi overlap kama trippier, aliishia sana kucheza pasi badala ya cross ins, kama ange overlap pengine nayeye angeleta madhara,
Ila alichokifanya potchy ni kuongeza pressure again and again akiamini tutashindwa kuhimili presha, anaingiza llorente anakua na double striker, lakini hawa wanaenda kucheza pale pale ambapo united wamejaa golini, mipira inaishia kugongana gongana tuu miguuni,
Ulishwahi kujiuliza kwanini leroy sane na umahiri wake wote na ufungaji wake, bado anacheza kushoto?? kwanini asitokee kulia ili alione goli vizuri??
Sababu anapofungulia kushoto mara nyingi anamfosi beki wa pembeni afungue pembeni zaidi hadi mwisho wa uwanja, ina maana lazima beki wa kati aje kuziba hii nafasi hapa, asipokuja basi mchezaji mwingine wa city anaingia kukaa pale, beki akija anatoka anaenda kukaa alipotoka beki yule, beki za kati anazivuta pembeni akina aguero na wenzie wanapita nyuma ya beki alipotoka,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeikuta hii some where
Angalia wanavyosema watu kuhusu De Gea, Alisson, Mou, Klopp, Kepa, Sir Alex Ferguson, na wengineo wamemsema.
Source: #SkySports
- Jose Mourinho : De Gea is not a goalkeeper.. he is the King
- Klopp :"If you have De Gea what more do you want? Maybe bars to celebrate wins and saves."
- Neymar : De Gea is a monster, not a human.De Gea is better than any goalkeeper by far. It will be a dream come true to play with him if I sign for #ManchesterUnited.
- Allison:"My role model is De Gea , he is the best ever goalkeeper the world has ever seen."
- Ronaldinho : David De Gea is the most complete goalkeeper i have ever seen. My son adores him"
- Kepa Arrizabalaga :Who said De Gea plays like me. Its a honour to be compared with the best player in the world"
- Drogba :"Many people know that De Gea is the best Goalkeeper in the world but they are afraid to say it."
- Pepe :"Comparing De Gea and another goalkeeper is like comparing an Alien with a human.
- Rafael Nadal :""The next time you compare De Gea with another goalkeeper , take a nap."
- Thomas Mueller : De Gea is the best player in the world, i just want him to win Ballon dor."
- Zinedine Zidane : De Gea is best goalkeeper in the world. Like it or Hate it
- Capello :"Give me De Gea and ten players. I will lift the Uefa Champions league."
- Sir Alex Ferguson :"De Gea is unbelievable."
- Marcelo :In our national team we are lacking a De Gea. An Angel."
- Iker Cassilas: One day I will tell my son, 'once upon a time there was De Gea'.
Nawewe mtetee klopp ambaye anaenda mwaka wa 5 sasa hana walau Carabao, kazi ku hug hug tu wachezaji na ku lose finals
Sent using Jamii Forums mobile app