United wanaongoza lakini wamecheza vibaya first half, Very poor pass accuracy, Martial ana dribble hovyo pia, kadhalika wakipata mpira hawaonani fresh, hopefull watajirekebisha second half. Fullbacks wanaingia sana kat kat na wanaingizwa sana pia na mpinza anae dribble kuingia ndan, kwa style hii Psg bado njia yake kwny UEafa itakuw rahis
Sent using
Jamii Forums mobile app