Jana amempa nafasi Matic, I hope umekubaliana na uamuzi wakeLukaku anafit kwenye hii timu kweli??...why tusimwamini hata sanchez upfront??
Binafsi siioni nafasi yake,lakini ngoja tuone kocha akimpa nafasi atafanya nini??
Mkuu umewahi kuona kwenye nchi, mtu aliyekuwa Naibu Waziri wizara flani,moja kwa moja akapandishwa akiwa PM, na wale waliokuwa mawaziri kamili wengine wakabaki kuwa wabunge tu au kuwa mawaziri wa kawaida?Swali la kizushi: Wadau Hii vice versa ya Man U sijui ilikuwaje. Ole alikuwa mwanafunzi Wa Ferguson na Phelani sasa hivi wamempa Ole jukumu la kuwa Mwalimu Mkuu na msaidizi wake ni phelan. Kwa nini Phelan asingepewa nafasi ya Ole halafu nafasi ya Phelan akapewa Ole?
Captain materialsSmalling akiwa Mkuu na de gea msaidizi siyo mbaya. Shida ya De gea na Valencia naona siyo waongeaji ni wapole sana
Ball playing defender, makocha wengi wanaopenda mpira wa kushambulia wanawahusudu sana ma ball playing defenders na ball playing goal keepersYaani Leo hadi lindelof alikuwa anapanda na kutoa assist kama kiungo mchezeshaji. Phil Jones alipiga shuti ndani ya 18 kipa akadaka duu!
Itakuwa mzuka umempanda, ushindi wa jana raha sanaWajiandae Kivipi Mkuu Kwani Man U anacheza na Liverpool?
Au unawaza kuwa Arsenal itamfunga Liverpool?
Hahaha hahahahaChelsea, Arsenal, Liverpool na Baadhi ya Washabiki Wa Man United (Pro-Mourinho) tulishirikiana kueka Kambi hapa.
Sasa Ni Muda Wa Kushirikiana kivyengine kuhamishia Maturubali Darajani kule London kwa Mr. Masigara.
😀😀😀
Nadhani Majaliwa alitoka kuwa naibu Waziri, na moja kwa moja kuwa PM.Mkuu umewahi kuona kwenye nchi, mtu aliyekuwa Naibu Waziri wizara flani,moja kwa moja akapandishwa akiwa PM, na wale waliokuwa mawaziri kamili wengine wakabaki kuwa wabunge tu au kuwa mawaziri wa kawaida?
Au Mwalimu baadae akawa chini ya Afisa Elimu ambaye aliwa kufundishwa naye?
Hilo ndio jibu fikirishi
clean sheets sio tatizo kwa sababu hakuna kombe la clean sheet its like an individual prizeBall playing defender, makocha wengi wanaopenda mpira wa kushambulia wanawahusudu sana ma ball playing defenders na ball playing goal keepers
Inaonekana dogo amepewa ruhusa ya kupanda kwa kuwa ana uwezo wa kuufanyia mpira jambo kwa maslahi ya timu
Lakini kwa uchezaji huu, clean sheet zitakuwa chache, lakini yote heri cha msingi ushindi
Umeneno vizuri sana mkuuKubadilishwa mwl aliyekosa matokeo mazuri huwa kunabadilisha saikolojia na morali ya wachezaji. Bila hata kocha wanaweza kuonekana wameimprove in short term but in long term, things may turn as usual. Kwa hiyo hutegemea analysis ya wataalam kuona km kocha anaweza kuwa na consistency in longterm
Mkuu mtu anaweza kuwa boyhood fan, lakini baadae akabadilika baada ya kucheza timu flani kwa muda mrefuMimi Ni mmoja ambaye Nimeumia Sana Kufukuzwa Mourinho! Musinishangae ila Kumbukeni kuwa "Adui Muombee Njaa"..
Na Njaa kubwa niliyokuwa nikiwaombea nikuwa Mourinho aogezewe Mkataba ili muzidi kupata Maumivu 😀😀😀
Kwa Upande Wa Wa Pili Nimefurahi Sana Kuteuliwa Mshabiki Nguli, Mshabiki lialia, Mshabiki Kindakindaki, Mshabiki Mkereketwa, Mshabiki Halisi Wa LIVERPOOL FC kamanda Ole Gunnar Solskjaer Kuwa Manager Wa Man United.
OGS Ni Boyhood Fan Wa Liverpool
Ulimboka Mwakingwe alikuwa mshabiki wa Yanga akiishi pale Mzumbe, akichezea timu ya Chui alijulikana hivyo kwa sasa sina uhakika bado ni Yanga damuNajua hilo! Angelikuwa yupo Simba au Yanga ningelihesabu vyengine
Ninafahamu, rejea sentence yangu ya mwishoclean sheets sio tatizo kwa sababu hakuna kombe la clean sheet its like an individual prize
ila goli nyingi zinafanya ukachukue kombe
1st game 0-0
2nd game 0-0
3rd game 0-0
three matches three points three clean sheets
1st game 5-1
2nd game 3-1
3rd game 4-2
three matches nine points
bila shaka umeona utofauti hapo
Mkuu ukiona mtu analalamika clean sheet na hata kumponda Paul kuwa useless basi ujue upro mourinho unamsumbua na haamini kuwa mourinho katimuliwaclean sheets sio tatizo kwa sababu hakuna kombe la clean sheet its like an individual prize
ila goli nyingi zinafanya ukachukue kombe
1st game 0-0
2nd game 0-0
3rd game 0-0
three matches three points three clean sheets
1st game 5-1
2nd game 3-1
3rd game 4-2
three matches nine points
bila shaka umeona utofauti hapo
Mkuu mtu anaweza kuwa boyhood fan, lakini baadae akabadilika baada ya kucheza timu flani kwa muda mrefu
Mfano hata OGS juzi ame declare he is United fan
swali la 1 ulilouliza humu ndani ni hili:huyu Di MAteo alichukua UEFA na bado akafungashwa virago, why?