Asante sana, 5 nilizofikiria zimepatikana, hii yote ni Asante kwa kuondoka Mourinho. Wachezaji wameonyesha furaha ya kuondoka Mourinho. OT happy again.
Ila OG bado hajapata kipimo sahihi kwa timu yenye mafundi na makocha wenye mbinu za ukweli...nasubiri kwanza ndio nije nimwagie sifa za namna mbili, nzuri au mbaya baada ya mechi kadhaa tena ngumu na za ugenini.