Dogo mzuri sana ndio maana hata hakufikiria kumtoa mwaka huu inafikia mpaka anamuweka bench Hernandez na Berbatoz it mean mzee amemuamini sana dogo ndio maana, na naamini akiendelea na huu mpira wake atafika mbali sana....
EPL ya mwaka huu haitabiliki week hii pundits waliaanza mpaka kuzungumza kuwa Spurs wanaweza kuwa mabingwa mwaka huu na kuwa wanacheza soka nzuri kuliko timu yeyote angalia leo kilichotokea. Kuongezea angalia Liverpool walivyowapelekesha Man City, leo wamenasa kwa Stock