Scott bado kumuweka bench fred kibaya zaidi kachezeshwa beki huwa napenda sana akicheza nyuma ya matic huwa timu ina balans fred hawez kuonesha makali yake uwepo wa maticacha kumfananisha scott na huo upumbavu unaoitwa fredinho....scott ni level za kina GUENDOUZ
yinyi manure mnajipumzisha kwa SOTONArsenane huwa wanajipumzisha kwa City mkuu
yule fred hamna kitu nakwambia kama huamini hii comment ntaifukua j5 mkimpanga pale kati mnakula kipigo cha aibu ni usajili wa hovyohovyo tu na kukurupukaScott bado kumuweka bench fred kibaya zaidi kachezeshwa beki huwa napenda sana akicheza nyuma ya matic huwa timu ina balans fred hawez kuonesha makali yake uwepo wa matic
Mkuu fred ni matumizi tu kocha kashindwa kumtumia yule akipata kocha makini ni bonge la mchezaj timu imeshindwa kuungana leo anacheza na fellain kesho anacheza na perreara mara atacheza na pogba hapo wachezaj wanaweza kutengeneza chemiatry? Mchezaj mwenye uhakika wa sehemu yake ni de gea tu jana ukiangalia mech unaona kabisa pogba hajui afanye nini hajui falsafa ya timu tunacheza mtindo upi lakin tungekuwa na first eleven wangekuwa wanajua nikichukua mpira hapa nautupa kwa flani sasa hiyo hamnayule fred hamna kitu nakwambia kama huamini hii comment ntaifukua j5 mkimpanga pale kati mnakula kipigo cha aibu ni usajili wa hovyohovyo tu na kukurupuka
Mkuu fred ni matumizi tu kocha kashindwa kumtumia yule akipata kocha makini ni bonge la mchezaj timu imeshindwa kuungana leo anacheza na fellain kesho anacheza na perreara mara atacheza na pogba hapo wachezaj wanaweza kutengeneza chemiatry? Mchezaj mwenye uhakika wa sehemu yake ni de gea tu jana ukiangalia mech unaona kabisa pogba hajui afanye nini hajui falsafa ya timu tunacheza mtindo upi lakin tungekuwa na first eleven wangekuwa wanajua nikichukua mpira hapa nautupa kwa flani sasa hiyo hamna
Hata bodi ya arsenal ilimkingia kifua sana wenger alipogoma kubadilika ilimtosa mech ya crystal palece na jana ya sutton imeonesha dhahir kocha ni mpuuz ukishindwa kuchukua point kwenye timu ndogo utachukua wapi? Fellain si game changer hapa huwa ananiacha hoi sana mata anakaa bench hadi akiingia anakuwa kama ndo anaanza kujifunza mpira hawapo vizur kisaikolojia na mbinu za kocha jana pogba hadi huruma anachukua mpira kisha anuacha peke yake bila kukabwa dhahir hayupo sawa kiakili
Taratiiiiiibu unaanza kuunga mkono juhudi za wapinga Mourinho, karibu hujachelewa.
Nyumbu anayekupumuliaKumbe wewe manyumbu
Usifananishe liver na vitu vya kijingaHapana sio kwa arsenal kuna timu hata iwe mbovu vipi kama ni mti wako hutok mfano man city kwa wigan barcelon anapoenda aneota studium kwa espanyol au atletico akikutana na levante labda kocha aamue kuachia tu
Kwani city yupo daraja moja na ma giant wa ulaya? Timu inahangaika kumfunga lyonUsifananishe liver na vitu vya kijinga
Sorry nime quote.
Usifananishe City na vitu vya kijinga pambabanen na hali zenu. Wigan anawapigaga man u tu.
Kwani lyon ni timu ndogo. Mbona hiyo city ilikutandika?Kwani city yupo daraja moja na ma giant wa ulaya? Timu inahangaika kumfunga lyon
Lyon nayo timu kubwa???? Kwa city hajafungwa na united?Kwani lyon ni timu ndogo. Mbona hiyo city ilikutandika?
Unapoongelea giant unamaalisha Historia? We are not in the history bana. Huyo lyon yupo nafasi ya Pili hapo kwenye ligi yao. Kiufupi mlitesa kipindi chenu na sasa waachie wengine watese. Man u imebaki kuwa historia.Kwani city yupo daraja moja na ma giant wa ulaya? Timu inahangaika kumfunga lyon
Nakumbuka city alimpiga united 6 - 1 .Lyon nayo timu kubwa???? Kwa city hajafungwa na united?
Kwa hiyo city yupo daraja moja madrid??? Mshabiki wa psg na wa city kujibizana nae ni kujishushia heshima tuUnapoongelea giant unamaalisha Historia? We are not in the history bana. Huyo lyon yupo nafasi ya Pili hapo kwenye ligi yao. Kiufupi mlitesa kipindi chenu na sasa waachie wengine watese. Man u imebaki kuwa historia.
Kwako wewe timu kubwa ni zipi? Ebu ziweke hapa.Lyon nayo timu kubwa???? Kwa city hajafungwa na united?
Hata leicester city alitufunga 5-2 point yako ni ipi?Nakumbuka city alimpiga united 6 - 1 .
JuventusKwako wewe timu kubwa ni zipi? Ebu ziweke hapa.
Umehamia Madrid? Hawapo daraja moja. Yupo daraja la chini kabisa na Anatesa epl. Na ndie anawkuchapa wewe wa daraja la juu. Mpo juu sana.Kwa hiyo city yupo daraja moja madrid??? Mshabiki wa psg na wa city kujibizana nae ni kujishushia heshima tu