Pale mbele huwa anakaa tu ndiyo maana anakua.mnene,yani hazunguki kabisa kutia hamshahamsha
Lukaku ni mchezaji anayeonekana kuchoka kuanzia mwili hadi akili mwanzo hadi mwisho wa kila mchezo tuliocheza msimu huu,ajabu ni kwamba weekend hii ataanza na kumaliza dakika zote. Ni kwanini José asifurushwe?
Kocha anashindwa kumtumia lukaku vizuri.... Anashindwa kujua lukaku mdhaifu eneo gani ili atengeneze mfumo utakao mbeba striker.... Yeye kakazania kuzungumzia timu nyingine zinafanya nini Lazima tukome kwa kuajili watu wasio na passion na mpiraLukaku ni mbovu ila sio sana kama anavyoonekana akiwa UTD..aina ya mchezo ndo unatukost maana MBONA AKIWA BELGUM ANAFUNGA KAMA KAWAIDA!? yes belgum amezungukwa na wachezaji wazuri lakini kama UTD ingekuwa inacheza kama Belgum LABDA lukaku angeshine..!
Kocha anashindwa kumtumia lukaku vizuri.... Anashindwa kujua lukaku mdhaifu eneo gani ili atengeneze mfumo utakao mbeba striker.... Yeye kakazania kuzungumzia timu nyingine zinafanya nini Lazima tukome kwa kuajili watu wasio na passion na mpira
Mara nyingi lukaku yuko peke yake kule mbele, Winger zote ziko nyumaaa. Hapo lukaku hawezi kucheza mwenyewe. Lukaku mweke kwenye box ,mpe pasi afunge.Lukaku ni mbovu ila sio sana kama anavyoonekana akiwa UTD..aina ya mchezo ndo unatukost maana MBONA AKIWA BELGUM ANAFUNGA KAMA KAWAIDA!? yes belgum amezungukwa na wachezaji wazuri lakini kama UTD ingekuwa inacheza kama Belgum LABDA lukaku angeshine..!
Sijawahi kumpinga huyu gwiji na kamwe sitampinga kwa sababu huwa anaongea ukweli ambao baadhi ya wana Mourinho huwa hawautaki humu.Paul Scholes anasema akiangalia man u inavyocheza inatia hadia aibu
Siyo kweli Bali walimu wanaomfuatia mbinu zao ni mbovu. Kuna wakati huwa naona tulikosea pale tulipomtimua Moyes. Angepewa muda atumie pesa kubwa kwa kusajili kisha aangaliwe.Muda mwingine huwa namlaumu fergie kwa kuiacha timu ikiwa ishajichokea maana wengi wa players walikua over age....waliokuja chukua mikoba yake wanateseka tu... hebu ona wenger kaacha squad bado bichi kabisa unai anateleza tu
Tonny Martial akataa mkataba mpya Man United.
Klopp anamwinda na yupo kwenye radar za Liverpool tokea kabla ya kutua Man United.View attachment 912310
Moyes alikuwa ni kituko mkuuSiyo kweli Bali walimu wanaomfuatia mbinu zao ni mbovu. Kuna wakati huwa naona tulikosea pale tulipomtimua Moyes. Angepewa muda atumie pesa kubwa kwa kusajili kisha aangaliwe.
Ha ha ha. Alikuwa na mipango mizuri tu Sema alitiririshwa mapema mno. Kuna siku Moyes alisema deal la Kroos kuja Man U lilikufa baada ya yeye kutimuliwa na Tony Kroos aliwahi kukiri kwamba kuna muda alikaribia kabisa kutua Man U.Moyes alikuwa ni kituko mkuu
Moyes hakuwa na uwezo wa kuvutia na kuhandle big players hata kidogoHa ha ha. Alikuwa na mipango mizuri tu Sema alitiririshwa mapema mno. Kuna siku Moyes alisema deal la Kroos kuja Man U lilikufa baada ya yeye kutimuliwa na Tony Kroos aliwahi kukiri kwamba kuna muda alikaribia kabisa kutua Man U.