Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho alifichua kuwa alipokea ujumbe wa imani naye kutoka bodi ya Manchester United kabla ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle.

nimeipenda hii nampenda sana mourinho ila philosophy ya kupack bus kwasasa kikosi hakija kamilika... hivyo tufumuke au asepe aje zizzu kikosi kitamfaaa sana

tumepitwa point 7 on top tukiwapiga chelsea tarehe 20 tutakua na imani yakugombea ubingwa
 
Kumpiga Chelsea kwake sidhani asee, natamani iwe hivo ila sidhani kama itatokea.
 
Ndoto zingine
Kwa hiyo una uhakika utaifunga chelsea Stanford Bridge
 
Sarriball sio mchezo..Ngoja tusubiri tuone..this is football anything can happen
Mpira ni kitu cha ajabu sana mkuu,wale wachezaji wakiamua na kocha asipozingua usishangae Chelsea akapigwa vizuri tu na mikeka ya watu ikachanika vibaya mno.

Chelsea pale ukimtia Hazard mfukoni sijui kama kuna mchezaji wa kusumbua.
 
Radika bwana anachambua utafikiri anajibu pepa la NECTA
 
Hahahaha mkuu PTER humu watu wanaona kama sisi ni timu mourinho united wakati ni manchester united
Kweli watu wanaamini tatizo ni mourinho bila kuangalia the other side pia.
Kuyumba kwa man u hata 2003 iliyumba sana kiasi cha kuelekea kumfukuza Ferguson lakini baadae aliinvest na team ikawa vizuri tena.
 
Fact mkuu na ndicho tunatakiwa kufanya watu wanahoji kanunua players hawajajibu kuna makocha pia wamefanya hayo hawasemwi kama pep kamsajili bravo lakin aliona hafai karud tena sokon na hela ya maana kachukua nolito hakufaa karud tena sokon alichukua danillo hakufaa kachukua walker ifike mahali tuache kujiroga wenyewe.
 
Mpira ni kitu cha ajabu sana mkuu,wale wachezaji wakiamua na kocha asipozingua usishangae Chelsea akapigwa vizuri tu na mikeka ya watu ikachanika vibaya mno.

Chelsea pale ukimtia Hazard mfukoni sijui kama kuna mchezaji wa kusumbua.
Ni vizuri ila huyo anaewadanganya kuwa chelsea ni hazard peke yake utamsimulia utakachokikuta
 
Ni vizuri ila huyo anaewadanganya kuwa chelsea ni hazard peke yake utamsimulia utakachokikuta
Jamaa kaongea point chelsea ya sasa inategemea nguvu ya hazard maana willian na pedro bado hawapo vizur siku huyu asipokuwa vizur basi timu inalala angalia gem anazotekea banch au asipocheza mnapata tabu sana
 
Tusubiri kama Pedro na willian hawapo vizuri siku hiyo najua mtahangaika na hazard siku hiyo na bado hamtamuweza kabisa
 
Skriniar, Romagnoli kwenye rada ya United.

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho anataka kusajili mabeki wawili wa kati mmoja kutoka Inter Milan Milan Škriniar na mwingine kutoka AC Milan Alessio Romagnoli , mwezi Januari kwa mujibu wa taarifa kutoka ESPN.

Mabeki hao wawili kutoka jiji la Milan wote wana thamani ya zaidi ya Pauni Milioni 40, ambapo majira ya kiangazi United walijaribu kutaka kumsajili Skriniar lakini Inter walitupilia mbali ombi lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…