Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Kwa mfano attacking force yetukwakweli huyu jamaa na mwenzake radika wako vizuri sana,
kuna watu hadi leo hii ukiwaambia hii timu haina wachezaji wa kushinda mechi, utaambulia matusi
-kuna watu bado wanaamini hii timu ni sawa na Liverpool ya klop.
Kabisa mkuu G Neville alitoa kauli kama yako, Cha ajabu na cha kusikitisha wengi wetu humu hatulioni hilo tumebaki tunamlaumu kochaHahaha hatar sana mkuu mi ndo mana nasema tatizo la hii timu sio kocha ni mfumo mzima wa club ila watu tunaangalia hapa karibu tu david Gill alikuwa vizur sana
Unaumia kufungwa au kuchaniwa mikeka??Wakuu mimi napata sana hasira hili li Mou linavyoongea, mbuzi hili halijui kuna watu limechana mikeka Mara 5 mpaka sasa....nitakuja kujiua ndo lielewe hili ngese la kireno
Mkuu Simba na kikosi cha Bil 13 kimeshindwa kuifunga Yanga yenye kikosi cha mil 120.Kipigo cha city toka kwa wigani sio sawa na cha kwetu Mkuu kweli tunashindwa wafunga derby mwenye kikosi cha paun mil 45 kweli mkuu
kuna watu hawatokuelewa mkuu,Kwa mfano attacking force yetu
Martial
Rashford
Lingard
Wote Hawa ni average players
Huwezi fananisha na
Firmino
Mane
Salah
Bei ya aguero inanunua timu yote ya wiganKipigo cha city toka kwa wigani sio sawa na cha kwetu Mkuu kweli tunashindwa wafunga derby mwenye kikosi cha paun mil 45 kweli mkuu
Mechi ya west ham nilishangaa sana pogba kumchezesha alitakiwa kukaa bench hilo nasema ukweli kabisa
Mkuu angekuwa yeye ni kocha mzuri angefanyia kazi issue ulizotoa ila anaendelea waweka hao wachezaj alafu tactics mbovu
Nimerudi sasa baada ya kula kifungo cha muda wakuu salama hapa???
Uache matusi sasa......ongea kistaarabu na uache kubishana kwa munkari KaliNimerudi sasa baada ya kula kifungo cha muda wakuu salama hapa???
Uache matusi sasa......ongea kistaarabu na uache kubishana kwa munkari Kali
Ndio mkuu kuna jamaa huko alianza dharauUlikuwa keko ya JF?
Ndio mkuu kuna jamaa huko alianza dharau
Hahahaa una mtazamo gani juu ya Maurinho mkuu?Ndio mkuu kuna jamaa huko alianza dharau
Kocha anahitaji kuaminiwa mkuu bado tutafanya poa pogba anatuyumbisha afuate maagizo ya bosi wake tu ambae ni kocha ukaidi mbayaHahahaa una mtazamo gani juu ya Maurinho mkuu?