Hiz tetesi tetesi lazima ziendekuwa kweli maana hali ilivyo. Kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya man u.
Mou lazima afungashe tu hamna namna
Kula like mkuu
Matic namkubali Sana yeye anatekeleza majukumu yakeWanadai Mata na Matic wana kazi nzito ya kuzima moto unawaka kwenye vyumba vya kubadilishia mara kwa mara kati ya wachezaji.
Matic namkubali Sana yeye anatekeleza majukumu yake
Kabisa mkuu some time pogba anakera Sana akiwa na mpira anasubiri wamfate aanze kupimana ubavu.. Kana kwamba anacheza ndondo cupSio bishoo,wala hachezi na camera, fikiria mchezaji bora msimu uliopita Herrera msimu huu anaozea bench ili bishoo/tozitozi pogba acheze.
Herrera nane anacheza na hata kumi pia,akipata mpira huwa harembi mpaka uchukuliwe kama anavyofanya tozi Pogba,Mou amejitengenezea matatizo yeye mwenyewe.
Naungana na wewe, ila namie niongozee, WOODWARD nae OUT! POGBA nae OUT! na wanaoshirikiana na POGBA nao OUT!Nimepiga saaaana kelele na ninawaomba mods kwa Mara nyingine tena wafufue comments zangu ili wakina Radika RRONDO n.k waone kashfa walizokuwa wakinitupia humu kuhusu ubovu Wa Mwalimu .
Niliandika sana kuwa mou hana hata robo ya uwezo kuivusha team . Nasikitika saaaaaaana mpaka muda huu huyu mbwa bado ni kocha. Nawaambia tena mou ameshashindwa kucontrol dressing room kinachofanyika hivi sasa ni boycott ya wachezaji.
Jana Rio Ferdinand amesema kabisa, Issue ya Pogba inasupport ya wenzake. Mou asivyo na akili anadhani anapambana na Pogba peke yake kumbe ni lundo la wachezaji..
Kauli Yangu ni ile ile " Chini ya Mou Team haifiki kokote,"
#MouOut
you mean more than 25 years yuwe wavumilivu au tukubali tu kama tumekwisha?Jose Mourinho: "Manchester United is not the only club to have such difficulties, it happens to every big club. Liverpool has experienced it before, but now they are coming good, so it is just a matter of time" #MUFC
Kuna muda anaongea point kidogoJose Mourinho: "I don't like the current situation, it is bad, very bad but i am trying. Sack? No way. I Will say no way. I am the right man for the job. I won three trophies in first season. Tell me who has done that after Ferguson" #MUFC
Jose Mourinho: "Some players i brought in disappointed me. They like outside life more than football life. They like their pets more than football, they like their new born babies too but they forget football gives them money" #MUFC
Jose Mourinho: "Manchester United is not the only club to have such difficulties, it happens to every big club. Liverpool has experienced it before, but now they are coming good, so it is just a matter of time" #MUFC
Jose Mourinho: "They(Liverpool ) have experienced it over a decade?. But over here it hasn't been long. May be it could be shorter" #MUFC
Jose Mourinho: "I'm not leaving this team today. Not tomorrow. Some players Will leave this club but i Will still be here. Some(players) think they are bigger than this club but i Will say no. They act like Hip hop or rap stars" #MUFC
Kuna muda kuwa postive kaongea point tupu pale beckham alikorofishana na sir alex kwa sababu ya maisha yake ya nje ya uwanja aliuzwa kwenda madrid kufukuza si jibu tuwe na mipango ya muda mrefu baada ya moyes basi van gaal angefanikiwa kama kufukuza ni jibuMzee anatoa taarabu tu..anaponda wachezaji ovyoovyo..afukuzwe!
Kama kuna mtu jaelewa hapa kuna shida pogba alikuwa timu ya Taifa kombe la dunia hakufanya hata ujinga wa kupendezesha nywele zake kwa nini afanye hivyo united? Kwamba anatudharau? Huyu mtu anatakiwa asepe yeye na kocha atasumbua sanaJose Mourinho: "I don't like the current situation, it is bad, very bad but i am trying. Sack? No way. I Will say no way. I am the right man for the job. I won three trophies in first season. Tell me who has done that after Ferguson" #MUFC
Jose Mourinho: "Some players i brought in disappointed me. They like outside life more than football life. They like their pets more than football, they like their new born babies too but they forget football gives them money" #MUFC
Jose Mourinho: "Manchester United is not the only club to have such difficulties, it happens to every big club. Liverpool has experienced it before, but now they are coming good, so it is just a matter of time" #MUFC
Jose Mourinho: "They(Liverpool ) have experienced it over a decade?. But over here it hasn't been long. May be it could be shorter" #MUFC
Jose Mourinho: "I'm not leaving this team today. Not tomorrow. Some players Will leave this club but i Will still be here. Some(players) think they are bigger than this club but i Will say no. They act like Hip hop or rap stars" #MUFC
Hata mou akiondoka mtasema tulikosea kumfukuza.Hapa naona kosa lilifanyika kumfukuza luis van gaal nikiangalia hata takwimu za mechi kubwa hatujawahi kupak bus na tulishinda tukiwa na wachezaji wadogo toka kwenye academy
Kama wakina
Padd macnair
Timoth fosuh mensah
Jackson cameroon
Marcus rashford
Jessey lingard
Andreas perreira
Hao kwa uchache tu naona hapa tulivunda sana maana alikuwa na project ya muda mrefu sana
Hakuna mahali nimezungumzia kufukuza kocha kama makocha wawili wamepita unategemea nini? Unafukuza kocha ukiangalia una players wa maana sasa unafukuza kocha winga ashley youngHata mou akiondoka mtasema tulikosea kumfukuza.
At least mkuu unajadili vyema lakini wengine fukuza jose ndiyo wanachotaka hawajui akija mwalimu mpya atataka muda na yeyeHapa naona kosa lilifanyika kumfukuza luis van gaal nikiangalia hata takwimu za mechi kubwa hatujawahi kupak bus na tulishinda tukiwa na wachezaji wadogo toka kwenye academy
Kama wakina
Padd macnair
Timoth fosuh mensah
Jackson cameroon
Marcus rashford
Jessey lingard
Andreas perreira
Hao kwa uchache tu naona hapa tulivunda sana maana alikuwa na project ya muda mrefu sana
Jamaa unafanya argument vizuri sana players wengi Man United wana masiaraHakuna mahali nimezungumzia kufukuza kocha kama makocha wawili wamepita unategemea nini? Unafukuza kocha ukiangalia una players wa maana sasa unafukuza kocha winga ashley young
Mkuu nilishabikia sana kufukuzwa kwa moyes na van gaal lakin kwa sasa naona hamna dawa tutaumia hapo ni kuboresha timu tu kama players si wavumilivu wa kumsikiliza kocha ila wanataka kocha awasikilize wao hamna timu hapoAt least mkuu unajadili vyema lakini wengine fukuza jose ndiyo wanachotaka hawajui akija mwalimu mpya atataka muda na yeye
Club haitoi pesa itakuwa kazi bure tu