Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ila account ya twitter anayo mkuu huenda kweli, mimi sipo kule ningeenda chungulia
Hiz tetesi tetesi lazima ziendekuwa kweli maana hali ilivyo. Kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya man u.
Mou lazima afungashe tu hamna namna
 
Hiz tetesi tetesi lazima ziendekuwa kweli maana hali ilivyo. Kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya man u.
Mou lazima afungashe tu hamna namna
Mkuu kabisa ataondoka tu....mbona Van gal aliondoka wakati tulianza onesha mwanga
 
Mou anatakiwa abaki maana anatufaidisha sana kwa mhindi uku watu tushaanza kushusha msingi site kisa mou
hahahahah mkuu kila baya lina faida zake, mtumieni kwa Mara ya mwisho next week hata kuwa kocha
 
Shaw ametetea Mourinho.

Luke Shaw amekemea kiwango cha Manchester United kwa kupokea kichapo cha 3-1 dhidi ya West Ham kwa kukielezea kwamba ni kibovu ' cha kutisha ' lakini amegoma kumlaumu kocha Jose Mourinho.

United wapo nyuma dhidi ya vinara Manchester City ambao wapo sawa na Liverpool kwa tofauti ya Pointi tisa wakiwa wamepoteza mechi tatu za kwanza kati ya saba za Ligi.

" Kama unataka ukweli nafikiri kilikuwa kiwango kibovu cha kutisha. Hatukuonekana timu ambayo ilikuwa inaweza kumfunga West Ham . Nafikiri mchezaji mmoja mmoja na timu kwa ujumla tulikuwa ovyo."

"Kiwango kile hakitoshi ni ngumu kukubali na tunaomba msamaha kwa mashabiki kwa kile walichokiona. Kiwango cha chini sana kulinganisha na wachezaji wenye vipaji ndani ya Manchester United."

Shaw amesema kwamba Mourinho alitoa maneno ambayo yalikuwa yanahitaji wakati wa mapumziko , na kusisitiza kwamba wachezaji ndio wanastahili kulaumiwa na sio kocha wao.

"Ni wazi wakati wa mapumziko kulikuwa na maneno kadhaa makali na naamini yalihitajika kusemwa. Ilikuwa kutuamsha kwamba tunahitajika kucheza zaidi mpira na hiyo haikutokea, inasikitisha."

"Inabidi tujiangalie wenyewe kama wachezaji . Sisi ndio tunaokwenda uwanjani . Kocha hayupo uwanjani au sio ? Yeye yupo pale kupanga timu , timu ambayo anaamini italeta ushindi . Ukiangalia timu yetu leo ilikuwa imara sana, hakuna visingizio . Kama wachezaji tulivurunda."
 
Nilichogundua makocha waliopita waliofukuzwa walilalamika sana kuhusu usajili sasa mreno kabla ya ligi kuanza aliongea ktk media ed kashindwa kutekeleza matakwa alimuwahi tofaut na hao walikaa kimya hapa kamshika pabaya ed ndo mana anakibur ana cha kujibu.
Unafuatilia press ya Mou, jamaa hata haoneshi kuonesha dalili kama anaogopa kufukuzwa, anaongea utadhani board imemwambia piga kazi
 
Jose Mourinho: "I don't like the current situation, it is bad, very bad but i am trying. Sack? No way. I Will say no way. I am the right man for the job. I won three trophies in first season. Tell me who has done that after Ferguson" #MUFC
Jose Mourinho: "Some players i brought in disappointed me. They like outside life more than football life. They like their pets more than football, they like their new born babies too but they forget football gives them money" #MUFC
Jose Mourinho: "Manchester United is not the only club to have such difficulties, it happens to every big club. Liverpool has experienced it before, but now they are coming good, so it is just a matter of time" #MUFC
Jose Mourinho: "They(Liverpool ) have experienced it over a decade?. But over here it hasn't been long. May be it could be shorter" #MUFC
Jose Mourinho: "I'm not leaving this team today. Not tomorrow. Some players Will leave this club but i Will still be here. Some(players) think they are bigger than this club but i Will say no. They act like Hip hop or rap stars" #MUFC
 
Mzee anatoa taarabu tu..anaponda wachezaji ovyoovyo..afukuzwe!
 
Pogba anakula madongo ya kutosha.

Muda mwingine Mou yupo sawa,hakuna timu kubwa EPL yenye wachezaji mabishoo kama MUFC,matozi hawachezi mbali na mitandao na camera.

Kinachonisikitisha ni kwamba hamtumii Herrera mchezaji asiye na mbwembwe yeye ni kazi tu.

Amtoe lukaku pale mbele apumzike aanze Sanchez. Ni ujinga wake mwenyewe kupenda michezaji mizito yenye miili mikubwa.
 
hip hop star Mou kiboko asee tumuachie timu yake, mgomo wa wachezaji ukishindikana tuanzishe mgomo wa mashabiki sasa.
 
Kula like mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…