Kuanza kutumia matusi na kauli za kumdhalilisha mtu ni dalili za ujinga ndugu huu ushabiki tu usiutumie kudhalilishanaOya sister tuache utani hebu tuambie liverfool ni mwaka gani ilichukuwa EPL?
Mkuu mbona umewaonea huruma....lukaku akikutanaga na hao madogo wastani Wa chini wa magoli ni hat trikMan u leo Tunachapa mtu 4-1Lukaku goli 2.sanches na rashford kama kawa
Maana yangu ni kwamba maoni utatoa ila there nothing you do. Kwa hiyo usishupaze shingo sana ukidhani ina effect yoyote.Kwa hiyo Mimi niache kushabikia Man U na kutoa maoni yangu juu ya Man U kwa sababu Mimi siyo mwenye timu!? Na wewe unapaswa kusifia tu kila kitu juu ya Man U kwa sababu wewe siye mwenye timu!? Kwa hyo na wachambuzi wengine wanaoeleza juu ya strengths na weaknesses za lukaku wanakosea kwa sababu siyo wamiliki Wa Man U!?
Kama tunaotoa maoni humu ukiwepo wewe tunashupaza shingo for nothing acha tu zivunjike kabisa. Ila ushabiki wangu kwa Man U hauko sawa na wewe. Unadhani Wamiliki Wa Man U wanafahamu kwamba Mashabiki Wa ile timu wanapatikana Jiji la Manchester pekee?Maana yangu ni kwamba maoni utatoa ila there nothing you do. Kwa hiyo usishupaze shingo sana ukidhani ina effect yoyote.
Ndio maana yangu hiyo.
Kazakaza mzee utatoka.Kama tunaotoa maoni humu ukiwepo wewe tunashupaza shingo for nothing acha tu zivunjike kabisa. Ila ushabiki wangu kwa Man U hauko sawa na wewe. Unadhani Wamiliki Wa Man U wanafahamu kwamba Mashabiki Wa ile timu wanapatikana Jiji la Manchester pekee?
Sawa nitapata helaKazakaza mzee utatoka.
Young boys sio madogo mkuuMkuu mbona umewaonea huruma....lukaku akikutanaga na hao madogo wastani Wa chini wa magoli ni hat trik
Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
Tutapata tabu sana...Martial utumbo aliofanya dakika chache za juzi bado anaanzishwa. Hizi dharau za Mou sijui zitaisha lini. Hizi timu vibonde ndio unatakiwa upambane uondoke na point sita zote. Kwa hiyo hapa anadharau anadroo halafu akakomae kushinda kwa Juve, hii akili au matope?Kikosi cha leo naona kipo vizur kwa mara ya kwanza naona beki za pembeni tumechezesha asilia nione watacheza vipi martial na rashford washindwe wao tuView attachment 871551
Kocha yupo sahihi mkuu martial lazima acheze hatuwezi kumtandika mkeka mazima bado mdogo ana muda wa kujifunza japo anazingua tumvumilieTutapata tabu sana...Martial utumbo aliofanya dakika chache za juzi bado anaanzishwa. Hizi dharau za Mou sijui zitaisha lini. Hizi timu vibonde ndio unatakiwa upambane uondoke na point sita zote. Kwa hiyo hapa anadharau anadroo halafu akakomae kushinda kwa Juve, hii akili au matope?
😀imenishtua sana mkuuMkuu,hii sio kweli.😀😀