Bro kuna mtu alijuita huku?thread ya liver si ipo kwann kushinda huku unaboaKaushamba gan uwe unafatilia vitu hujui afuu mbishi
Tazama hapa chn co unajifanya mjanja kumbe ni boya tu
View attachment 870591
Tulia wew huwez nipangia afuKaushamba gan uwe unafatilia vitu hujui afuu mbishi
Tazama hapa chn co unajifanya mjanja kumbe ni boya tu
View attachment 870591
Can you hear yourself?Tulia wew huwez nipangia afu
Mbona limbukeni hujui maana
Ya ushabiki boya kwel wew
Et kunamtu kakuita ??nimejiita mwenyewe
Haha bht nzuri ckusomaga shule cyajui hyo malughaCan you hear yourself?
Wewe jamaa Manchester united huijui kabisa unakurupuka kama unakunywa uji wa mapande, eti Pogba anaipa thaman united Mara et tutapata shida kuziba pengo LA Pogba nani kasema???.......Usituletee historia hapa, hazina nafasi kwa sasa ..tunachoangalia ni mateso gani mtapata endapo Paul pogba ataondoka. Hilo halina ubishi Man u kwa sasa hakuna kiungo wa kumweka nje Pogba ..na akiondoka kutakuwa na pengo kubwa sana maana mnadai kuwa mtasajili, Lakini wachezaji wengi hawataki kucheza chini ya Mou, hili ndo tatizo ...sasa bodi ichague either Mou asepe au Pogba.
Kwanza kibiashara Pogba anaipa thamani sana Man u ..ili suala jingine, kuondoka kwake kutakuwa na effect kubwa mbili. Ndani na nje ya uwanja ..hili halitaji ubishi mkuu.
Hongera liverpool. Press yenu inatisha lakini subiri ukutane Mo Champinos League, utaomba mshindi wa mechi awe anapatikana kwa kura.Mwehu kwel et kwa mpira gan
Veratti ni nani haswa acha ushamba
Hujaona jurgen press
Unafikir c tunapaki kama nyiny
Mnapaki mpaka kwa watford
AsanteHongera liverpool. Press yenu inatisha lakini subiri ukutane Mo Champinos League, utaomba mshindi wa mechi awe anapatikana kwa kura.
Wewe jamaa Manchester united huijui kabisa unakurupuka kama unakunywa uji wa mapande, eti Pogba anaipa thaman united Mara et tutapata shida kuziba pengo LA Pogba nani kasema???.......
Kwanza tuanze na issue ya brand....huyo Pogba kaongeza brand yake alipokuja Man u na Man u ndo inamuweka juu Pogba kibiashara.....Man u yenyewe ni brand kubwa duniani nyuma ya cowboyz tu......
Walikuwepo kina Beckham,Rooney,Cristiano Ronaldo,kina cantona na waliondoka na Man u ikaendelea kuwa brand kubwa sembuse huyu Pogba ambae haoneshi uwezo uwanjani.....kitu usichofahami brand inakuwa pindi kukiwa na kiwango bora uwanjani he Pogba anaonesha hili.....
Usisahau Depay alipokuwa united aliuza jezi zaidi ya Neymar alipoenda PSG......
Alaf issue ya kumziba Pogba ni so simple.....kama unajua mpira vizuri utagundua Pogba anaongeza Mzigo united inakuwa kama inacheza 10 coz muda mwingi analose concentration anapiga pasi za ovyo au miss pass na anapiga vyenga visivyo msaada so hata aondoke Pogba united itasimama na shida ya united ni kupata wachezaj wenye moyo wa kiupambanaji sio warembo kama Pogba......
Mwisho ngoja usajili wa kiangazi ufike mwakani utaona Pogba na huyo Wakala wake Mino wakisumbua tutawaacha waende sisi tutapata mbadala...This is United
Kwa hiyo Mimi niache kushabikia Man U na kutoa maoni yangu juu ya Man U kwa sababu Mimi siyo mwenye timu!? Na wewe unapaswa kusifia tu kila kitu juu ya Man U kwa sababu wewe siye mwenye timu!? Kwa hyo na wachambuzi wengine wanaoeleza juu ya strengths na weaknesses za lukaku wanakosea kwa sababu siyo wamiliki Wa Man U!?At the end you have to understand the saying NOBODY IS PERFECT. Wenye timu wenyewe ndio waliona umuhimu wake wakatoa hela.
We unaweza kuwa na matatizo pogba anacheza na tunafungwa hivu kuna mchezaji mkubwa kuishinda timu? Nimekupa mfano kacheza scott na tumu ilikuwa poa tu Nimekupa hiyo mifano ya watu wakubwa waliopita na timu ilibaki palepale wala hatukuwah kusikia kuondoka kwa ronaldo timu imegeuka chelsea wamepita watu kibao hapo mdogo pogba ni mdogo sanaUsituletee historia hapa, hazina nafasi kwa sasa ..tunachoangalia ni mateso gani mtapata endapo Paul pogba ataondoka. Hilo halina ubishi Man u kwa sasa hakuna kiungo wa kumweka nje Pogba ..na akiondoka kutakuwa na pengo kubwa sana maana mnadai kuwa mtasajili, Lakini wachezaji wengi hawataki kucheza chini ya Mou, hili ndo tatizo ...sasa bodi ichague either Mou asepe au Pogba.
Kwanza kibiashara Pogba anaipa thamani sana Man u ..ili suala jingine, kuondoka kwake kutakuwa na effect kubwa mbili. Ndani na nje ya uwanja ..hili halitaji ubishi mkuu.
Wewe mwenyewe unamezewa mateNyumbu wa manu mmeona mpira wa wanaume nadhan Liverpool co level yenu kwa sasa
Mkafie mbele
Mtaishia kutumezea mate tu
Oya sister tuache utani hebu tuambie liverfool ni mwaka gani ilichukuwa EPL?Dah unachekesha
Mbn unazungumzia hstor tu hujui maana ya hii kauli " kwa sasa"mzee acha kukaza ubongo
pogba "i cant wait to leave manchester United, .... i heve realized that the club is not even beig i manchester..... he calls him self the special one but he is not.........