Manchester United (Red Devils) | Special Thread

At the end you have to understand the saying NOBODY IS PERFECT. Wenye timu wenyewe ndio waliona umuhimu wake wakatoa hela.
 
Mimi na wewe ni nani aliye ongea povu? Mimi nmeuliza swali na badala ya kujib unaanza leta majibu za kipemba. Msimu ulitarajia makubwa sana lakini unaona upepo unaelekea kusini na ulitegemea ue nde kaskazin ..sasa ndo maan umekuwa ukiongea ongea tu
Mkuu hawa hawana jipya tena
Naona ni lawama kwa pogba na mou. bc sasa wakakutane na juve na huo mtafaruku wao watakufa 7 nakuapia
 
Pogba akiondoka apo man u mtapata tabu sana. Maana hamna kiungo cha kumweka nje pogba. Na hilo mou analielewa kabisa.
Manchester united sio sawa na chelsea ambayo haijawah hata kuwa na mchezaji aliyebeba tuzo ya dunia

Pogba akiingia vyumban ukutani kuna picha za wakina george best na sir bobby chalton kuna wakina ronaldo na giggs,bekham na scholes bila kusahau cantona na roy kean hao ni kwa uchache tu angalia hao wanaume walivyoitendea haki timu yetu na walipita

Hivyo basi pogba ni takataka na sisimizi kaangalie ile gemu liverpool anakufa goli mbili namba yake alicheza scott mctominay.

Kishaambiwa akitaka kuondoka awasilishe maombi
 
Mkuu hawa hawana jipya tena
Naona ni lawama kwa pogba na mou. bc sasa wakakutane na juve na huo mtafaruku wao watakufa 7 nakuapia
Mpira hauchezwi mdomoni na utabiri wako kama huo huyo juve anashindwa hata kumfunga chievo au unaangalia majina ile suluhu aliyoipata wolves kwa man city ni level moja ya bei ya vikosi???
 
Mpira hauchezwi mdomoni na utabiri wako kama huo huyo juve anashindwa hata kumfunga chievo au unaangalia majina ile suluhu aliyoipata wolves kwa man city ni level moja ya bei ya vikosi???
Povu hili

Mzee unahasira

Kwan hujui kazi ya shabiki

Wacha mambo yako

Shabiki yupo kwa ajili ya morali tu

Haimaanish kila asemacho shabiki bc ni sawa

Nimeandika kwa kuruka mistari ulewe

Ukipanic nakupiga na kwenzi
 
Woga wako tu ulichopost ndicho ulichojibiwa
 
HAYA ule utamu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umerudi tena. Safari hii mambo ni moto kwelikweli, maana ile hatua ya makundi tu inaanza, Liverpool inakipiga na Paris Saint-Germain.

Unaambiwa hivi, huo ni mtihani mzito kwa Kocha Jurgen Klopp, ambaye atapima kikosi chake kama kweli kipo vizuri kwa mapambano mazito baada ya kushinda mechi zake zote tano za kwanza kwenye Ligi Kuu England.

Mechi hiyo ngumu itapigwa leo Jumanne uwanjani Anfield, ambapo kutakuwa na shughuli nyingine pevu huko San Siro, wakati Inter Milan itakapoikaribisha Tottenham Hotspur.

Mechi nyingine kali itazishuhudia AS Monaco ikikipiga na Atletico Madrid, wakati Barcelona itakuwa na kibarua na PSV, huku Club Brugge ikiwa na kasheshe la kuikabili Borussia Dortmund na FK Crvena Zvezda itacheza na Napoli.

Kesho Jumatano kutakuwa na mechi nyingine kali kwelikweli, wakati Manchester City itakapocheza na Lyon, huku Real Madrid ikicheza na AS Roma. Man United nayo itaanzia ugenini kwa Young Boys, wakati Valencia itacheza na Juventus, huku Viktoria Plzen itacheza na CSKA Moscow na Shakhtar Donetsk itacheza na Hoffenheim. Kesho Jumatano pia kutakuwa na mechi kati ya Ajax itakayokuwa nyumbani kucheza na AEK Athens na Benfica itakipiga na Bayern Munich.
 
Sasa wewe unaogopa ndo mana yamashindano hamna timu zinzosonga zote
Kumbe hujui maana ya ushindani ndio maana ushakata tamaa

Na unajua dhahir mzika wa juve na valencia hamuuwez

Peleken mkapaki bac mpunguze idadi ya magoli tu maana hamna mbinu tofauti na hyo
 
Kumbe hujui maana ya ushindani ndio maana ushakata tamaa

Na unajua dhahir mzika wa juve na valencia hamuuwez

Peleken mkapaki bac mpunguze idadi ya magoli tu maana hamna mbinu tofauti na hyo
Nakujibu hivyo kwa kuwa nakuhurumia wewe si level yangu kimsingi unatakiwa uvunje rekodi ya leicester city kubeba epl kisha uje hapa huna kombe la epl ni kama nacheza na toi hapa
 
Nakujibu hivyo kwa kuwa nakuhurumia wewe si level yangu kimsingi unatakiwa uvunje rekodi ya leicester city kubeba epl kisha uje hapa huna kombe la epl ni kama nacheza na toi hapa
Ukizungumzia hixtoria ntakuambia kua nina cl nying kuliko wew jambo amblo halina msingi

Just talk about current
 
Nakujibu hivyo kwa kuwa nakuhurumia wewe si level yangu kimsingi unatakiwa uvunje rekodi ya leicester city kubeba epl kisha uje hapa huna kombe la epl ni kama nacheza na toi hapa
Kwa sasa manu mnacho izid liver ni mapato tu
 
Ukizungumzia hixtoria ntakuambia kua nina cl nying kuliko wew jambo amblo halina msingi

Just talk about current
Champions lig bado unayo moja nne umebeba miaka y 68 huko kama ni historia sijui zilikuwa zinaitwa takataka gani huko mwaka 1992 ikabadilishwa jina nakuitwa uefa champins league ulikaa kama miaka 27 hivi hadi 2005 we liverpool jikatae hapa hupawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…