Kuna muda hivi vitakwimu uchwara sio vya kukopi na kusambaza baada ya hayo magoli wamebeba nini? United walikuwa na safu mbovu ya ushambulizi walibeba had europa.
Sane anaambiwa hivyo vipi mourinho kwa martial nawaza tu
Leroy Sane ameachwa kwenye kikosi cha Manchester City ambacho kitacheza dhidi ya Newcastle United hapo baade, sababu kubwa ni tabia yake mbovu katika kujituma.
Pep Guardiola anaamini kwamba anatakiwa kutuma ujumbe kwa winga huyo na kuamua kumuondoa kikosini , hasa baada ya kutoridhishwa na jitihada za Sane katika mazoezi.