Hapo sasa, Manchester Utd ina wachezaji wa calibre ya Juu kwa mfano kwenye eneo kama namba Tisa sidhani kama kuna Timu Ulaya inaweza kuwa imesheheni namba tisa wa kila aina ; Old Traford kuna Lukaku, Rashford na Martial.
Sasa ninamtaka Yule mpuliza zumari wa Mourinho ( Radika,) na genge lake la wahuni wa tandika, yombo, Manzese, keko na Ubungo waje hapa kumtetea muhuni mwenzao Mourinho.
Ninawasubiri sana kwa hamu.
GGMU To United Royalists Except Mou ....
Hakuna kocha wa hovyo duniani kama Mou aheri King kibadeni "Mputa".