Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika Timu Niliyokuwa Siiamini Basi Ni Spurs Mbele Ya Man United.
Spurs Kwa Man U huwa haina lolote na Sidhani Kuwa Mourinho Ni Mjinga Wa Kupoteza Back-to-Back.

Spurs hawana ubavu wa kumfunga Utd yaani wale hawana tofauti na sisi hata tukiwa bora basi tunatepeteshwa na Utd kirahisi sana sijui kwa nini safari hii watu wana imani Spurs anaweza kumsumbua Utd na hii game mtu kama Kane lazima akutie hasira tu linakua butu
.
Dua na sala zangu ziko kwa Spurs lakini kama ambavyo siku zote nawaombea wote wanaocheza against Utd...COYS
 
Pole sana kijana nakuona ukiwa na stress za maisha! Mimi sina timu nyingine zaidi ya hii Manchester, sijawahi na sidhani kama nitahama.
Kwa ushamba wangu nimeangalia live kwa mara kwanza game ya Manchester united mwaka 2008! Unataka nikutajie siku na saa na tulicheza na nani?
Tangu hapo nimekua naangalia live mechi nyingi za nyumbani as long as nimesave pesa ninazozipata!
Next month ntakuletea original Manchester united jersey at least nawewe ujiskie vizuri.
Life isn't that difficult, no hate man.
Leo nyumbani tuisapoti timu yetu
 
Wakuu hivi mnamuonaje Fred? Yule dogo mpira anaujua na yuko sharp sana. Ana pasi fulani hivi za akili kwa washambuliaji walio sharp.
Fred yupo vizur,,anahitaji tu kuwa makini kidogo..yupo sharp,tatizo ni kwamba hatuchezi kwa tempo ya juu,,tunaunga unga tu mipira..ila naamini matic akiwepo na yeye acheze na pogba juu kidogo,,middle yetu itakuwa poa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa..ila sio guarantee ya kuona wenzako hawaijui united na kuichambua on their own thought..

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Na Ndiyomana Leo Wala Sijusumbui Kukesha Kwenye TV wala Siunguzi Bando Kwa Kustream Bali Nitaishia Kuangalia Matokeo LiveScore tu Manake Mtu anaweza Jikuta anaikalia Kidedea Spurs hatimae Man U anaimaliza Game Kabla ya Half-Time.
Huyu Harry Kane unaweza Mkuta Leo Ni sawa na Mrisho Ngassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…