Hizo ni bei za kuuzia sura tu magazetini....peleka sahivi £300m kama utanyimwa mchezaji yeyote pale...kiufupi hakuna mchezaji anayezidi £500m hata kama ni Messi..
Wewe umesema wachezaji wa Madrid WOTE, narudia tena umesema WOTE buy out clause yao ni bilioni, na hapo inaonesha duniani (sio Madrid pekee yake) ni wachezaji 2 tu wenye hiyo clause, CR7 na Benzema.