Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Timu Ya Manchester Imelamilika Kila Kitu.... Tatizo Mbinu Za Mourinho... Yaani Leo Eti Sterling Kawa Bora Kuliko Martial... Au Sane Kawa Bora Kuliko Rushford.... Eti De Bruyne Ni Bora Kuliko Pogba.... Watu Wakali Mule City Ni Aguero Na Walker.... Ambao Wakija Manchester United Wana Uhakika Wa First Eleven... Lakini De Bruyne Anaanzia Benchi Mbele Ya Pogba
Okay kama hivyo sawa.nilibahatika kumuona jamaa anaujua mno
ka huna nidhamu,hata ka ww nan unaachwa2Una taarifa kwamba Radja nainggolan ameachwa katika kikosi cha Belgium halafu Fellain ameitwa?
Sijui ni nini makocha huona sisi hatuoni.
Ni mzuri kuliko Fellain na herrera, nitamchukua kama back upNasikia Yaya Toure anatamani kutua MUFC.
Anadai anatamani sana kucheza na Pogba amfunze baadhi ya vitu.
Mou anavyopenda watu wenye maumbo makubwa tusishangae akamchukua.
Hituhusu hii mkuuSarri is 100% coming to Chelsea.
The problem is, he's 60 years old and smokes more than Wizkalifa
Wouldn't be surprised if he gets a heart attack watching Bakayoko play
Unaweza hisi Lampard anajaribu kuwapatanisha Gerrard na Rio hahaaaa
Kumbe tangu zamani alikuwaga hana akili
Man U hongereni kwa kushinda nafasi ya pili msimu huu.
Mtaumia sana jumamosi pale Liverpool atakaposhindilia msumari wa moto kwenye mioyo yenu kwa kubeba Champions League.
Hapo ndio mtapack mabegi yenu kwa wingi wenu wa mamilioni muungane na mkuu wenu wa msafara Garry Neville kuenda katika nchi isiyojulikana kujificha humo kwa miaka kadhaa kutokana na aibu mtakayoipata