Najuwa Kuna Watu Watanijia Juu Lakini Kumuuza Huyu (22years) Ni Kosa la Karne! Hakuna Club moja Katika Sayari Hii iliyokuwa Haitamani Kuwa Huyu Dogo.
He is very talented and Hardworking boy.
Bado Hajafika Katika Peak Yake ambayo itaanza around 25years.
Na ampeleke Barcelona aje amuone after two seasons.