Huyu Tahith Chong kweli atakuja kuchezea team kubwa ya Manchester United au naye atakuwa kama yule Mtaliano Petruc(New TOTI) alipotea kimojaMUFCPOTY
Denzil Haroun reserve team player of the year: DemetriMitchell
Goal of the season award: Nemanja Matic for his remarkable strike v Palace.
POTY: David De Gea
YPOTY: Tahith Chong
Players player: David De Gea
Managers POTY: Scott McTominay
Kwani # 6 EPL hashiriki Europa League next season ?aseno imejichokea sio ya kuijadili hapa na mwakani hawapo kombe lolote kubwa
Hapo anatafutwa Fred Wa shakhtar"timu ambayo haina mchezaji wa kibrazil hiyo siyo timu"-mourinho
Hapo ushaelewa kuwa lazima mbrazil atue ot msimu ujao
Savic namwelewa zaidi Mkuu,,Hapo anatafutwa Fred Wa shakhtar
Savic sijamuona vema akicheza ndugu ila nikionaga habari zake anaonesha ni mtu sana aseeSavic namwelewa zaidi Mkuu,,
Jorginho pia au Serri...
Kuna tetesi James nae amefanya mazungumzo na JM..
Hao ndio wachezaji wa Ed wanauza sa Jezi
Nlipitia video zake Mkuu,, yupo vizuri sana kwenye options zilizopo..Savic sijamuona vema akicheza ndugu ila nikionaga habari zake anaonesha ni mtu sana asee
Akipoteza mechi bas burnley yupo matakon kwake anamkaribia bado point 3 zitakazombeba ni magoli tuKwani # 6 EPL hashiriki Europa League next season ?
Na wanamechi wenyeweAkipoteza mechi bas burnley yupo matakon kwake anamkaribia bado point 3 zitakazombeba ni magoli tu
Utoto mwingi na kulewa sifaRashford amepoteza kujiamini. Ashangaa mwenyewe mpira unavyomfanyia Leo.
Mara nyingine maneno yako yana ukweli huyu Martial wakati mwingine anaudhiHuyu kocha pumbaf sana.. bado kamuacha Martial..na ujinga wote anaofanya. Fellaini anapambana Lukaku hayupo ndio anajitahidi kupiga mipira vichwa pale mbele na kamtoa[emoji52][emoji52]