Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii combination ya Smalling&Baily hatari tupu.
 
Mr Martial nakusalimia
Anatukaba sana hana makali yoyote,nadhani hawa ndio wanaitwaga Machachari lakini sio hatari.
Rashfrd kaingia kapambana kapata faulo karibia na kumi na nane Young kapiga ndio imetuletea goli. Huyu kacheza toka mwanzo hakuna faulo hata moja.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…