Ha ha ha ha Mwalimu kashasha ametisha duuh goli lina CIF na FOBMwalimu Kashasha unazungumziaje goli la Matic, ee unajua Enock kile alichofanya Mata ni kupiga Chopping commitment pass kwa kitaalamu tunaziita, pasi za mchomo kwenye Traditional level penetration grid.. mara nyingi zinakua na Shipping Cost CIF.. Sasa kilichofata kwa Matic ni kupiga Diagnosis perfect thunderstorm kick, ile hata goli kipa wawe mia golini hawawezi kudaka.. Kwako Enock
Mimi nimeona tofauti au nilikuwa nasinzia?!!! Pogba alipiga shuti likambabatiza beki, mpira ukaangukia kwa Matic ndio akatuliza na kupiga. Sasa Mata anaingiaje hapo?Mwalimu Kashasha unazungumziaje goli la Matic, ee unajua Enock kile alichofanya Mata ni kupiga Chopping commitment pass kwa kitaalamu tunaziita, pasi za mchomo kwenye Traditional level penetration grid.. mara nyingi zinakua na Shipping Cost CIF.. Sasa kilichofata kwa Matic ni kupiga Diagnosis perfect thunderstorm kick, ile hata goli kipa wawe mia golini hawawezi kudaka.. Kwako Enock
Liverpool wenye Klopp wako wapi mwaka wa tatu huu?!! Au Liverpool ina wachezaji wabovu.Man U tungempata kocha kama Klopp tungekuwa mbali sana. Huyu Jose wala simkubali kabisa
Man utd sasa hivi mechi 29 wana points 62 wameshinda mechi 19.Nani anatakiwa awe kocha mbadala?
Kila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.
Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
Liverpool wenye Klopp wako wapi mwaka wa tatu huu?!! Au Liverpool ina wachezaji wabovu.
Ningekuwa kocha ningempa £500.000.
Man U tungempata kocha kama Klopp tungekuwa mbali sana. Huyu Jose wala simkubali kabisa
Lukaku ni mpambanaji sana hata akisimama peke ake mbele muangalie mipira ya juu anavyo mdondoshea martial hata Sanchez Jana ufup wake tu kakosa goli alianguashiwa Mpira na lukaku kipind cha kwanzanakumbuka ile match na chelsea alivyotoa assist ya goli kwa lingz
jamaa alishangilia sana kuliko mfungaji mwenyewe
Klopp msimu wa tatu hata calabao cup Hanna sijui ubora wa kocha mnapima vipi wenzetu ndo kwnza anapambania top 4Man U tungempata kocha kama Klopp tungekuwa mbali sana. Huyu Jose wala simkubali kabisa
Lile bao lake alianza kuchekecha kama dereva wa Leyland Austin anavyozitafuta gia. Tutakaa vizuri tu game ya jana ilikuwa na kujituma na kupigana mpaka dakika ya mwisho (fergie time. )Lukaku ni mpambanaji sana hata akisimama peke take mbele muangalie mipira ya juu anavyo mdondoshea martial hata Sanchez Jana ufup wake tu kakosa goli alianguashia Moira na lukaku kipind cha kwanza
Lile bao lake alianza kuchekecha kama dereva wa Leyland Austin anavyozitafuta gia. Tutakaa vizuri tu game ya jana ilikuwa na kujituma na kupigana mpaka dakika ya mwisho (fergie time. )
Naunga mkono hojaNingekuwa kocha ningempa £500.000.
End justifies the means. So far hio kasi ya mpira wao kwa miaka mitatu ya Klopp haijasaidia chochote zaidi ya sifa za hapa na pale, yaani leo unamfunga mtu 4-0 kila mtu anasema Liverpool kiboko lakini matokeo ya msimu hamna mafanikio yoyote.napenda mpira wao wa kasi mkuu. Nadhani Man U wangekuwa wanashambulia kama Liverpool ingekuwa mbali sana mkuu. Wacheza wapo wengi tu pale Man wa kiwango cha kufanya hivyo ila tatizo kocha