BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Utafurahi sanaView attachment 705732
😀 😀 😀 😀 😀 teh teh teh teh teh teh!
Kama Sikosei Kwa Mujibu Wa Saa Za Afrika Mashariki Huu Mpira Utamalizika Kesho! Hivi Nitazame Mpira Ndani Ya Siku Mbili Halafu Nisifurahi?? Haiwezekani!!!
C. Palace 1 - 0 Man United
Dakika ya 11'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila kaya itaonja msiba... Ngoja tuone teh teh teeeeehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 705732
😀 😀 😀 😀 😀 teh teh teh teh teh teh!
Kama Sikosei Kwa Mujibu Wa Saa Za Afrika Mashariki Huu Mpira Utamalizika Kesho! Hivi Nitazame Mpira Ndani Ya Siku Mbili Halafu Nisifurahi?? Haiwezekani!!!
C. Palace 1 - 0 Man United
Dakika ya 11'
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.
Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
Hata mrudishen LVG na Moyes[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.
Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
Mou tatizo na wachezaji pia tatizoKila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.
Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
kafanya nini ? mctominay,lingard na young mbn husemi wanafanya nn ?Lukaku jamani
Ameshindwa kuforce sio kma anacheza vibaya .kafanya nini ? mctominay,lingard na young mbn husemi wanafanya nn ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116]Young na Valencia wanafanya nni uwanjani???tutaficha wap hii aibu kesho jamani..
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Dedication song aslay ft nandy
Subalkher
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha ushinde chumbani tuuYoung na Valencia wanafanya nni uwanjani???tutaficha wap hii aibu kesho jamani..
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]