Hivi umepotea, hali ya hewa inakusumbua umekusudia ,unataka kuwa maarufu kwa mambo ya kijinga au basi tu huna cha kufanya na bando lako !!!?
Wenzako wengi sana wanakuja huku kwa style hiyo hiyo, kama ni kiki rudi kajipange au vamia uzi mwingine wa wakolomije na magurugujo.