Atapewa tu asiwe na shakaFuckin Lovin it. It begins 😀 😀 😀
Paul Pogba 'wants to double his wage' at Manchester United | Daily Mail Online
View attachment 689634
Chumba cha wanaume unafuata nn usiku huu bila nguo!!?
Chumba cha wanaume unafuata nn usiku huu bila nguo!!?
Hivi huyu kocha sijui ana matatizo gani kwa kweli...leo ilikua nafasi ya kupunguza gap lkn ona anavyokoroga maharage hapo...GGMU
Mkuu mbona unaongea kama vile tushafungwa tayari? Man utd ni timu kubwa na kuna wachezaji wengi na kocha ndo huwa nao mazoezini so anajua anachokifanya. GGMUHivi huyu kocha sijui ana matatizo gani kwa kweli...leo ilikua nafasi ya kupunguza gap lkn ona anavyokoroga maharage hapo...
Smalling wa nini?? Anataka kumtupia lawama Rojo tu. Hapo kati badala ya kuweka jiwe...
Subiri tuone.
Sijui atakua ameoumzushwa au adhabu baada ya gemu ya spurs!!Naona pogba leo kaanzia benchi [emoji134]♂️[emoji134]♂️
Jaribu hii ila tumia chrome All Broadcasts - Sport Streams for eachGame itakua channel gani kwa mobdro ?