Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lugha za matusi na kukashifiana watu hatujuani sio mahala pake hapa. Tuwe na busara hata kidogo.

Ikitokea mmeshindwana kwa hoja, tukubali kutokubaliana. Kukaa kimya nalo ni jibu.

Welcome Alexis Sanchez @ OT.
GGMU..
 
Naona katabia kameanza siku za karibun mwanzo tulikuwa tunapita tunaona wenye lugha mbaya wanapuuzwa nafikir lizingatiwe hilo hii timu kubwa uchafu haufai hapa
 
Tuwapuuze hata kama atajibu post yako mpuuze
Natumai amesharipotiwa na kuchukuliwa hatua aisee.

Siungi mkono lugha za maudhi na matusi kwenye jukwaa hili aisee.

By the way, nimepita tu kuwapa hongera kwa usajili wenu. Natamani mtuuzie (Chelsea) Martial ama Mata..ila poa tu nadhani tunakutana nanyi mwezi ujao.
 
Hahhahaha mkuu hao wawili ngumu sana mkuu tumehangaika mno mkuu..watan zangu chelsea misimu 6 au 7 mnatimu ya uhakika tuhurumieni tunaanza kujijenga mkuu

Matus mabaya sana mkuu tutaniane tu ki spot.
 
Hahhahaha mkuu hao wawili ngumu sana mkuu tumehangaika mno mkuu..watan zangu chelsea misimu 6 au 7 mnatimu ya uhakika tuhurumieni tunaanza kujijenga mkuu

Matus mabaya sana mkuu tutaniane tu ki spot.
Sasa mtawatumiaje hao wote. Nashangaa sana Chelsea wanaenda kutafuta wachezaji mbaliii wakati hapo kwenu wapo wa kunyonga
 
Martial tena mtani wamgu mentor??? Aaa ngumu

Liverpool karudia ugonjwa wake
 
Kwamba leo Martial amekuwa wa muhimu? Sasa Martial, Mata, Rashford, Lukaku, Sanchez, Ibra, Lingard...kwani mnacheza ligi ngapi wenzetu!??
Hahshahs tunahitaj kuwa na kikos kipana martial kaanza kuiva rashford anahitaj kupumzika katumika sana ka umr kadogo mkuu ibra hana nafas tena
 
Wee Martial
mkae mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…