Ozil ana umr gani na pogba ana umr gani? Kumbuka msimu wa pili huu pogba ktk lig ozil ana muda gani? Kwa hizo starts nteanda kwa pogba ndo kwanza ana miaka 24 je akifika 28 au 29 kwenye pik itakuwaje?
Hujielewi...Mbona hapa data nyingi zina mbeba pp.
Jipeni moyo...hutakiwi kukata tamaa mapema
Hakuna cha muda...,tunaangalia sasa.....mfano mzuri kwenu ni Javier Hernandez..huyu dogo alikuwa anapiga sana alipokuwa na miaka 20-24 hivi....mkaanza kama kawaida yenu mashabiki uchwara.... Cjui henry mpya wa man u,cjui bado hajafika kwenye peak akifika cjui atabeba ballon d'or,..miporojo miiingi...yuko wapi sahivi???...hata Moyes anamweka benchi...Ozil ana umr gani na pogba ana umr gani? Kumbuka msimu wa pili huu pogba ktk lig ozil ana muda gani? Kwa hizo starts nteanda kwa pogba ndo kwanza ana miaka 24 je akifika 28 au 29 kwenye pik itakuwaje?
Mbona hapa data nyingi zina mbeba pp.
Ozil ana umr gani na pogba ana umr gani? Kumbuka msimu wa pili huu pogba ktk lig ozil ana muda gani? Kwa hizo starts nteanda kwa pogba ndo kwanza ana miaka 24 je akifika 28 au 29 kwenye pik itakuwaje?
Nyie mashabiki maandazi wawili nadhani mshapata jibu hiyo post ya kati kutoka kwa mwenzenu....Bora ulivyomuuliza
Nyie mashabiki maandazi wawili nadhani mshapata jibu hiyo post ya kati kutoka kwa mwenzenu....
Muwe mnavuta banghe baada ya kupost sio mnavuta kabla...
Mkuu nimekutolea mfano wa Javier Hernandez hapo juu...hujauelewa ama hujauona???Punguza hasira
Ozil na pogba wapo level moja ya umri na miaka ya ushrik wao ktk epl?
Kwa hizo starts narudia pogba ni faida ktk umr wa miaka 24
Hakuna cha muda...,tunaangalia sasa.....mfano mzuri kwenu ni Javier Hernandez..huyu dogo alikuwa anapiga sana alipokuwa na miaka 20-24 hivi....mkaanza kama kawaida yenu mashabiki uchwara.... Cjui henry mpya wa man u,cjui bado hajafika kwenye peak akifika cjui atabeba ballon d'or,..miporojo miiingi...yuko wapi sahivi???...hata Moyes anamweka benchi...
Pogba bado sana kwa ozil...
Hata mkilinganisha ubora this season...
Kwa nn mnamlilia si mna pogba mitindo????
Mkuu nimekutolea mfano wa Javier Hernandez hapo juu...hujauelewa ama hujauona???
Sijui ulianza lini kufuatilia soka mkuu...kipindi anaingia anatupia hadi offside..watu walianza kusema huyu atakuwa henry mpya..hukumbuki ww shabiki uchwara ww???..Mmm nna wasiwasi na uelewa wako wa ushabik wa mpira hivi ni kosa kufananisha wachezaj?
Tangu lini chicharito akafaanishwa na henry au unatunga habar kwa kuwa muda wote unapanic?
Chicharito alikuwa anafananishwa na ole gunna soskjeal basi kwa kuwa alikuwa anatokea banch analeta tofaut wala hakunaga cha hizo tuzo
Nshakuqoute hapo juu..Hernandez chicharito hajawah kufananishwa na henry bali ni martial media za huko kwao france
Sijui ulianza lini kufuatilia soka mkuu...kipindi anaingia anatupia hadi offside..watu walianza kusema huyu atakuwa henry mpya..hukumbuki ww shabiki uchwara ww???..
View attachment 676965pep piga huyo zuzu..
Kwahiyo unamuita kocha wa timu unayoshabikia Zuzu? Wenger ni Zuzu?
View attachment 676965pep piga huyo zuzu..
Kuna mechi chicharito alikuwa na offside 9 na aliingia kutoka sub,..unakumbuka ww??We jamaa bana acha nikuache tu naona unapambana mara sijui mpira umeanza lin nkikuambia utaanza historia
Mi sijawah kuona huo ufananisho unaouleta maana hata uchezaj wao haukaribii ni tofaut kabisa
Hakuna mfungaji asiefunga goli za offside henry katupia nyingi sana juzjuz tu wakina sanchez wamefunga had kwa mikono hamna point hapo labda uwe na chuk tu
Zuzu aliyepigwa mechi nyingi....Kwahiyo unamuita kocha wa timu unayoshabikia Zuzu? Wenger ni Zuzu?
Kuna mechi chicharito alikuwa na offside 9 na aliingia kutoka sub,..unakumbuka ww??